Alhamisi 9 Julai 2026 - 06:43
Swala ya Maiti Juu ya Mwili wa Imam Shahidi Khamenei Yaswaliwa katika Uwanja wa Haram Tukufu ya Alawi kwa Kuhudhuria Watoto wa Ayatullah al-Udhma Sistani

Hawza/ Swala ya maiti juu ya mwili wa Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei iliswaliwa katika uwanja wa Haram Tukufu ya Amirul-Muuminin Imam Ali (as).

Kwa mujibu wa ripoti ya Kitengo cha tarjama cha Shirika la Habari la Hawza, swala ya maiti juu ya mwili wa Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei iliswaliwa katika uwanja wa Haram Tukufu ya Amirul-Muuminin Imam Ali (as), kwa ushiriki wa idadi kubwa ya walioshiriki katika msafara wa mazishi. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na Hujjatul-Islam wal-Muslimin Muhammad Ridha Sistani na Muhammad Baqir Sistani, watoto wa Hadhrat Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Sistani.

Swala hiyo imeongozwa kwa ushiriki wa watoto hao wawili wa Marjii Mkuu wa Kidini wa Iraq, Ayatullah Sayyid Ali Sistani.

Swala ya Maiti Juu ya Mwili wa Imam Shahidi Khamenei Yaswaliwa katika Uwanja wa Haram Tukufu ya Alawi kwa Kuhudhuria Watoto wa Ayatullah al-Udhma Sistani

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha