Jumanne 11 Machi 2025 - 09:37
Jipambe kwa tabia njema

Tabia njema ni; Kumsamehe aliyekudhulumu, kuunga udugu aliyekukatia (udugu), kumpa aliyekunyima na kusema haki hata kama ni kwa madhara yako.

Shirika la Habari la Hawza - Imamu Swadiq (a.s) aliulizwa kuhusiana na tabia njema; Alisema:

«اَلْعفْوُ عَمَّنْ ظَلَمَكَ وَصِلَةُ مَنْ قَطَعَكَ وَإعْطاءُ مَنْ حَرَمَكَ وَقَوْلُ الْحَقِّ وَلَوْ عَلى نَفْسِكَ.»

Kumsamehe aliyekudhulumu, kuunga udugu aliyekukatia (udugu), kumpa aliyekunyima na kusema haki hata kama ni kwa madhara yako.

Maani al-Akhbar, Jz 1, uk 191

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha