Shirika la Habari la Hawza - Imamu Baqir (a.s) amesema:
«إِنَّ اللّه عَزَّ وَ جَلَّ يُحِبُّ المُداعِبَ فِى الجَماعَةِ بِلا رَفَثٍ.»
Mwenyezi Mungu anampenda afanyae mzaha katika mkusanyiko, kwa sharti asitukane na kutoa maneno machafu.
Al-Kafi, Jz 2, uk 663
Maoni yako