Shirika la Habari la Hawza - Mtume (s.a.w.w) amesema:
«مَن باعَ وَ اشتَرَی فَلیَحفَظ خَمسَ خِصال وَ إلّا فَلا یَشتَرینَّ وَ لَا یَبیعَنَّ: ألرِّبا وَ الحَلفَ وَ کِتمانَ العَیبِ وَ الحَمدَ إذا باع وَ الذَّمَّ إذا اشتَرَی.»
Yeyote anayefanya biashara (anauza na kununua) lazima aepuke vitu vitano, kinyume na hivyo asinunue au kuuza kabisa: Riba, kuapa, kuficha ubovu (wa bidhaa), kusifu bidhaa anazouza, na kukashifu bidhaa anazonunua.
Man La Yahdhuruhu al-Faqih, Jz 3, uk 194
Maoni yako