Alhamisi 27 Februari 2025 - 08:56
Weka kando tabia ya kujiona

Kujiona (kujikweza) kunamkwaza mtu kutafuta elimu na kunaleta udhalili na ujahil.

Shirika la Habari la Hawza - Imamu Hadi (a.s) amesema:

«العُجبُ صارِفٌ عَن طَلَبِ العِلمِ، داعٍ إلَى الغَمطِ والجَهلِ.»

"Kujiona (kujikweza) kunamkwaza mtu kutafuta elimu na kunaleta udhalili na ujahil."

Bihar al-Anwar, Jz 69, uk 199

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha