Shirika la Habari la Hawza - Imamu Swadiq (a.s) amesema:
«عِفُّوا عَنْ نِسَاءِ اَلنَّاسِ تَعِفَّ نِسَاؤُكُمْ.»
"Kuweni na utakasifu (jiheshimuni) kwa wanawake wa watu, ili wanawake wenu wafanyiwe utakasifu (waheshimiwe)."
Tuhaf al-Oghul, Jz 1, uk 359
Maoni yako