Shirika la Habari la Hawza - Imamu Baqir (a.s) amesema:
«اِنَّ اَكْرَمَكُمْ عِنْدَاللّهِ اَشَدُّكُمْ اِكْراما لِحَلائِـلِهِمْ.»
"Hakika aliye mbora zaidi miongoni mwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule ambaye anamheshimu zaidi mwenza wake."
Wasail al-Shiah, Jz 21, uk 310
Maoni yako