Shirika la Habari la Hawza - Imamu Swadiq (a.s) amesema:
فِي قَوْلِ اللَّهِ عَزَّ وَ جَلَّ "قُوا أَنْفُسَكُمْ وَ أَهْلِيكُمْ ناراً " كَيْفَ نَقِي أَهْلَنَا قَالَ تَأْمُرُونَهُمْ {بِما يُحِبُّ اللّه} وَ تَنْهَوْنَهُم {عَمّا يَكرَهُ اللّه}.
Katika kauli yake Mwenyezi Mungu alotukuka utajo wake" Jiokoeni nafsi zenu na familia zenu na moto" wakauliza: Vipi tutaokoa (tutazikinga) familia zetu? akasema: Mnawaamrisha (yale ayapendayo Mwenyezi Mungu) na kuwakataza (ayachukiayo Mwenyezi Mungu).
Al-Kafi, Jz 5, uk 62
Maoni yako