-
Maswali na Majigu:
DiniJe! Ni jinsi gani tunaweza kurekebisha tabia zinazoharibu Mtoto?
Badala ya kumuadhibu kwa kumpiga, boresha zaidi ujuzi wako wa kuongea, haijalishi tabia ya mtoto ni mbaya kiasi gani, kwa kuzungumza naye kwa upole na kumuelezea makosa yake, unaweza kumfundisha…
-
Ayatullah Javadi Amoli:
DiniNi muda gani yatupasa kufanya Istikhara?
Ayatollah Jawadi Amuli amesema: Istikhara ni kuomba kheri, lakini ile istikhara ambayo mtu huifanya kabla ya kufikiria, kabla ya kushauriana, kabla ya kufanya tathmini, na kuamua moja kwa moja…
-
DiniJinsi gani ya kuwatambua wato madai ya uongo wa kuwa na uhusiano na Imam wa zama (a.s)?
Wadai wa uwongo wa uhusiano na Imam wa Zama (a.t.f.s) ni jambo lililoenea katika Dini zote, ambao hujaribu kuwahadaa watu kwa kutegemea ndoto na maono, wanawapinga wanazuoni na kuendeleza uwongo…