Muujiza wa Qur'ani hauishii tu katika vipengele kama maudhui, mpangilio, ufasaha na balagha, au kutokuwapo kwa hitilafu, bali una vipengele vingine vya kimiujiza kama vile muujiza wa kielimu…
Anwar Ibrahim, Waziri Mkuu wa nchi ya Malaysia, katika hafla ya ufunguzi wa mashindano ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu, alisema: Kumiliki ujuzi wa Qur'ani pamoja na sayansi ya kisasa ikiwemo akili…
Mjumbe wa Jumuiya ya walimu wa Hawza ya Qom {Jamiat Mudarrisin} alieleza wazi kwamba: Kuwekeza nguvu katika mkakati mara nyingi kunahusiana na mienendo ya kawaida, na akili mnemba pia ina nafasi…