Shambulio la Israeli dhidi ya Doha (6)
-
DuniaHarakati ya Tawhidi al-Islami: Shambulio dhidi ya Qatar ni mwendelezo wa siasa ya uhalifu ulioandaliwa na ugaidi wa kiserikali unaoungwa mkono na Marekani
Hawza / Harakati ya Tawhidi al-Islami ya Lebanon katika tamko lake imesema: “Shambulio la Israel ni mwendelezo wa siasa ya uhalifu ulioandaliwa na hatua inayoeleweka kuelekea ugaidi wa kiserikali…
-
DuniaSheikh Qabalan: Marekani ni mshirika kamili wa Israel katika uhalifu wake wote
Hawza / Sheikh Ahmad Qabalan, Mufti Mkuu wa Ja‘fari wa Lebanon, katika tamko lake amesema: “Kwa nguvu zote na kwa uthabiti, tunalaani vikali ugaidi wa Kizayuni na unyama wa Israel.”
-
DuniaHizbullah: Shambulio lililofanywa na utawala wa Kizayuni mjini Doha limeonesha dhamira yake ya kweli ya kuendeleza vita na mauaji ya kimbari
Hawza / Hizbullah ya Lebanon imelaani shambulio la ghafla na la khiyana la utawala wa Kizayuni dhidi ya ujumbe wa uongozi wa Harakati ya Muqawama ya Kiislamu (Hamas) wakati wa kikao kilichokuwa…
-
DuniaMwenyekiti wa Baraza Kuu la Ja‘fariyya Kashmir Pakistan: Shambulio la Israel dhidi ya Qatar ni shambulio dhidi ya usalama na heshima ya Umma wa Kiislamu
Hawza / Sayyid Zawar Husayn Naqvi, katika ujumbe wake, amelaani vikali shambulio lililofanywa na Israel dhidi ya Qatar na kulieleza kuwa ni shambulio lililolenga heshima na usalama wa Umma wote…
-
DuniaWaziri Mkuu wa Pakistan: Shambulio lililofanywa na Israel dhidi ya Qatar ni uvunjaji wa wazi wa uhuru wa taifa na tishio kwa amani ya ukanda huu
Hawza / Mian Muhammad Shehbaz Sharif, katika tamko lake, amelaani vikali shambulio la Israel dhidi ya Qatar na kulieleza kuwa ni uvunjaji wa wazi wa uhuru wa taifa hilo na tishio kubwa kwa amani…
-
DuniaWizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki yailaani vikali Israel kutokana na shambulio lake dhidi ya Qatar
Hawza / Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imetoa tamko rasmi ikilaani vikali shambulio la Israel dhidi ya ujumbe wa mazungumzo wa Hamas mjini Doha, mji mkuu wa Qatar.