Jaamiatul-Mudarrisin (5)
-
Barua ya wazi ya Jumuiya ya Walimu wa Hawza (J'amiatul-Mudrrisin) kwa Maulamaa wa Ulimwengu wa Kiislamu:
HawzaLeo ni wajibu kwa maulamaa wa umma kupaza sauti kwa ajili ya kuwaokoa watu wa Palestina
Hawza/ Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qom: Leo ni wajibu na jukumu juu ya maulamaa wa umma kuvunja ukimya dhidi ya jinai hii ya wazi na ukimya wa madola ya kisiasa ya nchi za Kiislamu, pamoja…
-
HawzaZaidi ya mafakihi na walimu 400 wa Hawza ya Qom waiunga mkono kikamilifu fatwa ya kihistoria ya maraaji’ wa taqlid
Hawza/ Zaidi ya watu 400 miongoni mwao ni mafakihi na walimu wanachama wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qom "J'amiat Mudarisin" wametangaza uungaji mkono wao wa wazi na wa dhati kwa fatwa ya…
-
DuniaMatembezi makubwa kwa ajili ya Imam Husein (as) yafanyika Tanzania
Hawza/ Matembezi makubwa na yaliyohudhuriwa na watu wengi yamefanyika katika jiji la Daresalam nchini Tanzania
-
Taasisi ya juu ya hawza yamtahadharisha Trump:
HawzaKuivunjia heshima Marjiat na nafasi kiongozi wa mapinduzi ni sawa na kutangaza vita na uma wote wa Kiislamu
Hawza/ Katika maelezo ya Pamoja yaliyo tolewa na Jaamiat Mudarisn, shura ya juu na markazi ya uongozi wa hawza yanasema kwamba; Aina yeyote ile ya vitisho na kuivunjia heshima nafasi ya Marjiat…
-
Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qom (Jamiatul Mudarrisin):
HawzaMapenzi kwa Imam Khomeini (r.a.) bila kumtii Kiongozi wa dini (walii faqih) ni madai ya uongo
Leo hii Kiongozi mwenye busara wa Mapinduzi amezishika kwa mikono yake fikra zenye nuru za Imam adhimu na anawaalika wote kushikamana na malengo ya Imam na Mapinduzi. Mapenzi kwa Imam bila kumtii…