Imaam Khomein (9)
-
DuniaMwanazuoni wa Ahlu-Sunnah: Njia ya Imam Khomeini (ra) ni Taswira ya Mshikamano wa Kiislamu
Hawza/ Maulana Hidayat-ur-Rahman, katika hafla ya kumbukumbu ya kifo cha Imam Khomeini (ra) alidhihirisha kuwa: Jina la Imam Khomeini (ra) ni ishara ya uvumilivu, ulinzi wa wanyonge na mshikamano…
-
Makamu wa Rais wa Baraza kuu la Shia nchini Lebanon:
DuniaImam Khomeini alianzisha harakati kubwa zaidi ya mapinduzi harakati ambayo mafundisho yake yamechukuliwa kutoka katika kina cha uislamu
Hawza/ Sheikh Ali al-Khatib amesema: Tumempoteza Imam Khomeini (r.h), ambaye haiba yake iliambatana na ujasiri na kujitolea, na mwangaza wake uliangaza kote ulimwenguni.
-
Kiongozi wa Harakati ya Kuamsha Ummah wa Mustafa nchini Pakistan:
DuniaUmmah wa Kiislamu bado una deni la mwamko wa kihistoria wa Imam Khomeini (ra)
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimīn Sayyid Jawad Naqawi, katika hotuba yake, amesema kuwa fikra za Imam Khomeini (ra) ndio njia pekee ya kuukomboa Ummah wa Kiislamu, na kwa kukosoa kimya cha…
-
sheikh mkuu wa Jumuiya ya Shia nchini Tanzanzania (TIC):
DuniaFalsafa ya Arafa kwa mtazamo wa Imam Khomeini (ra)
Hawza/ sheikh mkuu wa Jumuiya ya Shia nchini Tanzanzania (TIC), katika hotuba yake ya swala ya ijumaa alielezea falsafa ya kisimamo cha Arafa kutokana na mtazamo wa Imam Khomeini (ra).
-
DuniaKampeni ya Kimataifa ya “Khomeini ni kwa ajili ya watu wote” yafanyika; Ujumbe wa Imam waenea katika Upeo wa Mataifa
Hawzah/ Katika maadhimisho ya mwaka wa kumbukumbu ya kufariki kwa Imam Khomeini (ra), kampeni ya kimataifa ya “Khomeini kwa Wote” ikiwa na hashtag (#KhomeiniForAll) imeakisi ujumbe wake wa kimataifa…
-
Mwenyekiti wa Harakati ya Uamsho ya Umma wa Mustafa nchini Pakistan:
DuniaUjumbe wa kimapinduzi wa Imam Khomeini (ra) ndio njia pekee ya kuukomboa Umma wa Kiislamu
Hawza / Katika maadhimisho ya mwaka wa thelathini na sita tangia kufariki kwa kiongozi mkubwa wa Mapinduzi ya Kiislamu, hadhrat Imam Khomeini (ra), mkusanyiko mkubwa uliohudhuriwa na maulamaa…
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli:
HawzaImam Khomeini alikuwa ni mchanganyiko kamili wa elimu na matendo
Hawza/ Ayatollah Jawadi Amoli amesema: Imamu Khomeini (ra) alielewa kwa usahihi kila alichokifahamu, na alitenda kwa usahihi kila alichokitenda. Alikuwa ni mtu aliyekusanya kwa ukamilifu kati…
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Maadhimisho ya Miaka 36 ya Kufariki Imam Khomeini (ra) Amefafanua:
DuniaMaendeleo, Usalama na Ustawi ni kwa Kuendeleza Njia ya kiakili ya Imam Khomeini (ra)
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, asubuhi ya leo, mbele ya umati mkubwa na wenye hamasa katika Haram takatifu ya Imam Khomeini (ra), akizungumza kuhusu athari dhahiri za…
-
DuniaKenya waandaa kongamano la kuadhimisha miaka 36 tangia kufariki kwa Imam Khomeini (ra)
Hawaza/ Wananchi wa Kenya wameshirikiana na Baadhi ya Wairani wanao ishi katika nchi hiyo kwa ajili ya kuadhimisha miaka 36 tangia kufariki kwa Imam Khomeini (ra).