Hashdu Shab (7)
-
Mwakilishi wa Harakati ya Amal Nchini Iran:
HawzaSilaha za Muqawama wa Hizbullah ni Urithi wa Damu za Mashahidi
Hawza/ Salah Fahsi amesema: Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu bado wanataka kunyang'anywa silaha Jeshi la Hizbullah, lakini shambulizi la utawala wa Kizayuni dhidi ya Qatar liliwafanya wafuasi…
-
Imam wa Ijumaa wa Najaf Ashraf:
DuniaKuuwawa kishahidi Waziri Mkuu na viongozi mashuhuri wa Yemen hakukuathiri mwendelezo wa mapambano ya Yemen
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qubanji alisema: Kuuwawa kishahidi Waziri Mkuu wa Yemen pamoja na viongozi wengine 21 mashuhuri wa Yemen hakukuathiri mwendelezo wa mapambano…
-
DuniaSheria ya Hashd al-Shaabi imecheleweshwa kati ya shinikizo la kimataifa na migawanyiko ya ndani na bunge lililo chini ya utawala
Hawza/ Katikati ya mazingira ya kisiasa yaliyojaa vurugu na mgawanyiko, sheria ya kuratibu vikosi vya Hashd al-Shaabi, moja ya sheria muhimu za kiserikali na kiusalama, bado imesalia kusimama…
-
DuniaOfisi ya Ammar Hakim: Uongo Kuhusu Msimamo wa Tofauti wa Ammar Hakim Kuhusu Vikosi vya Hashd al-Shaabi Haukubaliki Kwa Njia Yoyote
Hawza/ Ofisi ya vyombo vya habari ya Rais wa Muungano wa Vikosi vya Kitaifa vya Iraq imekataa uvumi unaosema kwamba Sayyid Ammar Hakim, kiongozi wa muungano huo, ana msimamo tofauti kuhusu vikosi…
-
DuniaImamu wa Ijumaa Baghdad: Kuondoka kwa Marekani ni matokeo ya shinikizo la wananchi wa Iraq / Israel haina ujasiri wa kushambulia Iraq
Hawzah/ Ayatullah Sayyid Yasin Musawi alisisitiza kwamba kuondoka kwa majeshi ya Marekani kutoka Iraq ni matokeo ya “shinikizo la wananchi, bunge na muqawama” na wala si matakwa ya Washington,…
-
DuniaImamu wa Ijumaa Najafu Ashraf, Akosoa kuhusiana na kuenezwa baadhi ya upotovu wa kidini na kimaadili katika majlisi za Huseini
Hawza / Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qubanchi alisema: “Tunaamini kuwa Hashd al-Sha‘bi ni nukta ya nguvu ya Iraq na Hashd al-Sha‘bi ni alama ya heshima na fahari ya Iraq, kuvunjwa…
-
DuniaImam wa Ijumaa wa Najaf Ashraf atoa tahadhari Kuhusiana na Njama Iliyoandaliwa Dhidi ya Waislamu wa Kishia nchini Iraq
Hawza/ "Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qubanchi, akizungumzia ombi la Marekani la kutaka kuvunjwa kwa kikosi cha Hashdu al-Sha'bi nchini Iraq, alisema: Kwa nini Marekani inasisitiza…