Hawza / Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qom alisema: Marekani na washirika wake baada ya shambulio la moja kwa moja dhidi ya vituo vya nyuklia, kwa maneno ya jeuri, walianza kuwatishia Wairani…
Hawza/ Khatibu wa Ijumaa wa Qom alisema: “Utawala wa Kizayuni ulidhani kwamba, kwa kudhoofisha imani ya wananchi na kuchichea kukata tamaa ungeweza kutikisa misingi ya serikali, lakini mshikamano…
Hawza/ Khatibu wa Ijumaa wa Qom Irani, amesema: Arubaini ni harakati ya pamoja kuelekea kwa Imamu na Hujjat wa Mwenyezi Mungu, Arubaini ina uhusiano wa karibu mno na Mahdawiyya kiasi kwamba kusema…