-
DuniaWafanyakazi wa Microsoft wavuruga sherehe, wasema AI ya shirika imechangia mauaji ya kimbari Gaza
Wafanyakazi wa shirika la Microsoft la Marekani wameandamana wakati wa tukio la sherehe ya miaka 50 ya kuanzisha kampuni hiyo, wakitangaza upinzani wao dhidi ya kutumiwa teknolojia ya Akili Mnemba…
-
Ayatollah Udhma Jawadi Amoli:
DiniJe! ni dhikri ipi iliyo na athari zaidi kuliko dhikri nyingine zote?
Hadhrat Ayatollah Jawadi Amoli aliweka wazi kwa kusema: Mnaweza kuwa mmewahi kusikia mara kwa mara kwamba kuna baadhi ya watu wanatafuta dhikri huku wakijiuliza: " Je! Ni dhikri ipi tuisome ili…
-
Mjumbe wa Baraza la wataalamu wa uongozi:
DuniaKunyamaza nchi za kiarabu na kiislamu mbele ya jinai zinazofanywa na utawala wa kizayuni ni aibu kubwa zaidi kuwahi kutokea katika historia
Raisi wa ofisi ya kiongozi mkuu wa mapinduzi ya kiislamu nchini Iran, akiwa mjini Qom (Iran), alizungumzia ukimya na kutojali unaofanywa na baadhi ya nchi za kiarabu na kiislamu kuhusu uhalifu…
-
DuniaKuzuiwa wanafunzi wanaounga mkono Palestina katika vyuo vikuu vya Uingereza
Maria Ali na Antonia Listert, ni wanafunzi wawili kutoka chuo kikuu cha Birmingham Uingereza, walikutana na mashitaka ya nidhamu kwa sababu ya kuunga mkono watu wa Ghaza na kulaani vitendo vinavyo…
-
Hadithi ya leo:
DiniUsiruhusu aone haya
Tafuta udhuru kwa neno na kitendo kibaya alichokifanya ndugu yako, na kama hukupata, mtafutie udhuru (ili asione haya).
-
DuniaHamas: Takriban watoto 19,000 wameuawa shahidi huko Ghaza
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa, takriban watoto 19,000 wameshauawa shahidi huko Ghaza na takriban watoto 39,000 wamepoteza kwa uchache mzazi mmoja au wote…
-
DuniaWanazuoni wa Kiislamu Watoa Fatwa ya Jihad Dhidi ya Israel
Kamati ya Ijtihad na Fatwa ya taasisi moja ya kimataifa ya wanazuoni Kiislamu imesisitiza kuwa kuanzisha Jihad dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Isarel unaoendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya watu…
-
Rais wa umoja wa wanazuoni wa Muqawama:
DuniaKurejesha uhusiano wa kawaida ni mradi ulioshindwa, na msimamo wa muqawama utashinda
Sheikh Maher Hammoud amesema: Dalili za kurejeshwa kwa uhusiano wa kawaida na ushawishi wa Wazayuni zimefikia kikomo.
-
Ayatollah Al-Udhma Nouri Hamedani:
HawzaMifarakano ni mibaya zaidi kuliko vikwazo na vita vya adui
Hadhrat Ayatollah Nouri Hamedani alisisitiza: “Katika hali inayo tukabili hivi sasa, upande wa mabeberu umeungana, lengo letu kuu linapaswa kuwa ni kuleta umoja na mshikamano, mifarakano ni mibaya…
-
Ayatollah Arafi katika Swala ya Ijumaa mjini Qom (Iran):
HawzaUchumi imara ni ule unaojengwa pamoja na ushirikiano wa wananchi
Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Qom (Iran) amesema: Uzalishaji ni msingi na mhimili wa uchumi salama, na akaongeza kwamba uchumi imara ni ule unao simamamia ushiriki wa wananchi, uchumi…