-
DuniaMus’haf wa karne nne wavutia umma Kaskazini mwa Iraq
Katika kijiji kidogo cha Gelezerde, pembezoni mwa mji wa Sulaymaniyah, kaskazini mwa Iraq, kuna nakala ya Qur’ani Tukufu (Mus’haf) ambayo haiwezi kupuuzwa – sio tu kwa uzuri wake wa kale, bali…
-
Makao makuu ya Hawza:
HawzaFikra ya Kigaidi ambayo ilitumika kuharibu Makaburi ya Baqii, leo hii ndiyo ambayo inatumika kumwaga damu za watoto na wanawake wa Ghaza
Kituo kinacho simamia na kuongoza Hawza katika taarifa yake kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kubomolewa makaburi matukufu ya Maimamu wa Baqii (a.s), kimewataka wanazuoni na wasomi wa ulimwengu…
-
Hadithi ya leo:
DiniKuwa mwenye kutafuta riziki ya halali
Usiache kutafuta riziki kwa njia ya halali; kwani ni auni (msaada) kwa ajili yako katika dini.
-
DuniaHafla ya kumtambulisha mwakilishi mpya wa kiongozi Mkuu wa mapinduzi Iran nchini India, imefanyika
Katika hafla ya iliyo fana ilifanyika katika kituo cha utamaduni cha Jamhuri ya kiislamu ya Iran jijini New Delhi, mchango wa miaka kumi na mitano wa huduma za dhati na zenye mafanikio ulio tolewa…
-
HawzaMjadala uliojiri kati ya Marehemu Ayatollah al-Udhma Fazel Lankarani na Imamu wa kipindi hicho wa Msikiti wa Haram
Safari moja nikiwa Makka, nilikutana na mzee mmoja ambaye alisema kuwa alikuwa Imamu wa msikiti mtakatifu wa Haram kwa kipindi cha miaka kumi. Umri wake haukuruhusu tena kuendelea kuwa imamu.…
-
HawzaTukio la kubomolewa makaburi ya maimamu wa Baqii (a.s) halina mbadala
Marehemu Ayatollah Safi Golpayegani katika chapisho alilo liandika kuhusiana na mnasaba wa kumbukizi ya kubomolewa kwa makaburi ya Maimamu wa Baqii (a.s), alieleza wazi kuwa: Lengo ovu la maadui…