Jumatatu 19 Oktoba 2026 - 06:55
Kumwamini Mtu Kabla ya Kumjaribu

Hawza/ Amiri wa Waumini, Imam Ali (a.s.), katika riwaya anaashiria mojawapo ya mambo muhimu katika kumtambua na kumuamini mtu.

Shirika la Habari la Hawza, linachapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu Ghurar al-Hikam wa Durar al-Kalim.

Amiri wa Waumini, Imam Ali (a.s.), amesema:

«الطُّمَأْنِینَةُ إِلَی کُلِّ أَحَدٍ قَبْلَ الاِخْتِبَارِ مِنْ قُصُورِ الْعَقْلِ.»

Kumwamini mtu yeyote kabla ya kumjaribu ni dalili ya upungufu wa akili.

Chanzo: Ghurar al-Hikam wa Durar al-Kalim, Hadithi Na. 1980.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha