Hawza/ Papa Leo wa Kumi na Nne, katika hotuba yake ya hivi karibuni, kwa mara nyingine ametoa wito wa kusitishwa mapigano mara moja huko Ghaza na kuachiliwa huru kwa wafungwa wote.
Hawza/ Papa Leo wa Kumi na Nne, siku ya Jumapili baada ya kuongoza ibada yake ya kwanza takatifu, alitawazwa rasmi kuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki.
Hawza/ Mkurugenzi (Mudir) wa hawza nchini Iran ametuma ujumbe wa pongezi kwa kuchaguliwa Papa Leon wa kumi na nne kuwa kiongozi wa Katoliki duniani.