Haki za binadamu (4)
- 
                                        
                                        DuniaUfaransa Yakosolewa vikali kutokana na Kuwazuia Wanawake Wachezaji Kuvaa Hijabu
Hawza/ Wanaotetea haki za binadamu wameitaka Ufaransa iondoe sheria inayokataza wanawake wanamichezo kuvaa hijabu, huku mjadala kuhusu suala hili ukizidi kushika kasi katika siku za hivi karibuni.
 - 
                                        
                                        Kituo cha Uangalizi wa Haki za Binadamu Syria:
DuniaTangia kuanguka serikali iliyopita, watu 10,672 wameuawa nchini Syria
Hawza/ Kituo cha Uangalizi wa Haki za Binadamu Syria kimetangaza kwamba kimeorodhesha vifo vya watu 10,672, wakiwemo 3,020 waliouawa katika mauaji ya kiholela kwa kunyongwa.
 - 
                                        
                                        DuniaMwanaharakati wa kisiasa wa Bahrain akamatwa
Hawza/ Mamlaka za Bahrain zimemkamata kijana mmoja kwa sababu ya kuchapisha maoni ya kuiunga mkono Iran kwenye mtandao wa Instagram, hatua hii imechukuliwa kama sehemu ya sera za kuendeleza ukandamiza…
 - 
                                        
                                        Ayatollah al-Udhma Makarim Shirazi:
HawzaHaki za binadamu zinazodaiwa na Magharibi maana yake ni jinai na kuua maelfu ya wanawake na watoto
Hawaza/ Mtukufu Ayatollah Makarim Shirazi amesisitiza kuwa: Haki za binadamu zinazodaiwa na Magharibi ni dhana isiyo na maana wala maudhui ya kweli, wao hawana imani na heshima ya mwanadamu wala…