Ayatullah Sayyid Mujtaba Hussein Khamenei (10)
-
DuniaKiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu atoa rambirambi kufuatia kufariki kwa Ayatullah al-Udhma Fayyadh
Hawza/ Ayatullah Sayyid Mujtaba Khamenei ametuma ujumbe wa rambirambi kufuatia kufariki dunia kwa Ayatullah Haj Sheikh Ishaq Fayyadh.
-
Ayatullah Saidii katika Swala ya Ijumaa ya Qum alisema:
DuniaNjia sita za kukabiliana na vita mchanganyiko vya adui katika ujumbe wa mwisho wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qum alisema: Adui ameielekeza nguvu yake katika maeneo mawili nyeti na ya kimkakati, na Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ametoa njia sita za kukabiliana nayo ambazo…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi:
DuniaKhomeini Mkuu na shahidi Khamenei walihuisha utayari wa taifa
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Sayyid Mujtaba Husseini Khamenei amesema: Khomeini Mkuu na shahidi Khamenei waligundua na kuhuisha utayari wa taifa.
-
DuniaSimulizi ya Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Qom Iran, kuhusu usiku wa kuchaguliwa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi/ Kutii na kutekeleza amri za kiongozi ni wajibu wa kisheria
Hawza/ Khatibu wa swala ya Ijumaa mjini Qom alisema: Baraza la Wataalamu wa Uongozi lilikutana usiku wa tarehe 19 Ramadhani, mmoja wa wajumbe wa ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu:
DuniaTofauti zisizo na msingi na hata zenye msingi, zisigeuzwe kuwa mizozo na mifarakano
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kufunguliwa kipindi cha kwanza cha Bunge la Ushauri la Kiislamu na kuanza mwaka wa tatu wa…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi katika ujumbe wake kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu amesisitiza:
DuniaWamarekani wajue kwamba muda haurudi nyuma/ Kujitenga na washirikina kwa hakika; ni jambo linalozidi msimu wa Hija
Hawza/ Ayatullah Sayyid Mujtaba Husseini Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa kuwadia kwa msimu wa Hija ya Ibrahim, amezitaja ibada na adhkari…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu:
Dunia“Uwajibikaji na kuwatumikia watu” ni miongoni mwa sifa dhahiri za shahidi Ayatullah Raisi
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Sayyid Mujtaba Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa pili tangia shahada ya shahidi Ayatullah Raisi na kwa heshima…
-
DuniaUjumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi kutokana na mnasaba wa Siku ya Kuilinda Lugha ya Kifarsi na Kumuenzi Ferdowsi
Hawza/ Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa Siku ya Kuilinda Lugha ya Kifarsi na Kumuenzi Ferdowsi alisisitiza kwamba: Taifa pendwa la Iran katika “Ulinzi…
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa Siku ya Kitaifa ya Ghuba ya Uajemi:
DuniaGhuba ya Uajemi; ni neema ya Mwenyezi Mungu na inayotamaniwa na wageni/ Enzi mpya ya Ghuba ya Uajemi na Mlango wa Hormuz iko katika kuundwa
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Sayyid Mujtaba Khamenei amesema: Moja ya neema zisizo na mfano za Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa mataifa ya Kiislamu ya eneo letu, hususan watu watukufu wa Iran ya Kiislamu,…
-
Kutoka katika Baraza la wataalamu wa uongozi:
DuniaAyatullah Sayyid Mujtaba Hussein Khamenei, achaguliwa kuwa Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran
Hawza/ Baraza la wataalamu wa uongozi katika kikao chake limemchagua Sayyid Mujtaba Hussein Khamenei (Mola amuhifadhi) kuwa ni Kiongozi wa tatu wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran, uchaguzi huo umekamilika…