-
DuniaMchambuzi wa Kipalestina: Mwamko wa Kisiasa katika Nchi za Ghuba Umeanza
Hawza/ Abdul Bari Atwan, mchambuzi na mwandishi mashuhuri wa Kipalestina huku akirejelea upinzani wa Saudi Arabia dhidi ya matumizi ya anga yake na Marekani kwa ajili ya kushambulia Iran, alisema…
-
Wafuasi wa Muqawama Mbele ya Ubalozi Mdogo wa Israel mjini Istanbul:
DuniaMhimili wa Muqawama Hauko Peke Yake
Hawza/ Kundi la “Marafiki wa Muqawama wa Uturuki” limefanya mkusanyiko wa maandamano mbele ya ubalozi mdogo wa Israel mjini Istanbul na kutangaza uungaji mkono wake kwa Ghaza na Lebanon, washiriki…
-
DuniaMsemaji wa Hamas: Iran Inajitahidi Kusitisha Vita vya Ghaza
Hawza/ Hazem Qassem, msemaji wa Harakati ya Hamas, amesema kwamba: Iran imeifikishia harakati hiyo juhudi zake za kidiplomasia za kumaliza migogoro katika eneo, ikiwemo vita vya Ghaza.
-
DuniaMtawala wa Bahrain Amechukua Msimamo Mkali dhidi ya Maombolezo ya Muharram ya Mashia
Hawza/ Waziri wa Mambo ya Ndani wa Bahrain, kama ilivyo desturi yake ya kila mwaka, kabla ya kuanza kwa mwezi wa Muharram al-Haram, aliwaita viongozi wa takiya, huseinia na waandaaji wa majlisi…
-
Ayatullah Araki:
DuniaKushambulia maslahi ya Marekani na wafuasi wake ni wajibu wa kisheria/ Hatua yoyote inayosababisha kudhoofika ari ya mapambano ni haramu
Hawza/ Mjumbe wa Baraza Kuu la Hawza, akisisitiza kwamba; hatua yoyote inayosababisha kudhoofika ari ya mapambano kwa mtazamo wa kisheria ni haramu, alisema: Kushambulia maslahi ya Marekani popote…
-
DuniaWananchi wa Lebanon Wakusanyika Mbele ya Ubalozi wa Iran, kama Ishara ya Uaminifu na Shukrani kwa Kusimama Iran Pamoja na Lebanon
Hawza/ Wananchi wa Lebanon walikusanyika mbele ya Ubalozi wa Iran mjini Beirut kama ishara ya kutoa shukrani kwa hatua ya Iran ya kujibu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni na kuiunga mkono Lebanon.
-
DuniaJumuiya ya Maulamaa wa Beirut Yapongeza Msimamo wa Dhati wa Iran katika Kuisaidia Lebanon
Hawza/ Jumuiya ya Maulamaa wa Beirut imesisitiza kwamba; haiwezekani kuachana na muqawama ambao uliikomboa ardhi na kumzuia adui; Muqawama upo na utaendelea kuwepo maadamu hakuna mbadala unaoweza…
-
DuniaKongamano la Kimataifa la Qur’ani lafanyika kwa Muda wa Wiki Moja katika Haram ya Imam Hussein (a.s.)
Hawza/ Wiki ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu imeanza katika Haram ya Imam Hussein (a.s.), ikijumuisha Tuzo ya Tano ya Kimataifa ya Karbala. Wawakilishi kutoka nchi 30 wanashiriki katika tukio hili,…
-
DuniaMwakilishi wa Bunge la Iraq/ Iraq na Iran ni Mataifa Mawili yenye udugu
Hawza/ Mwakilishi wa Bunge la Iraq alisema: Iraq na Iran ni mataifa mawili ndugu ambayo yana mizizi ya pamoja katika itikadi za Kiislamu, maadili ya kidini na mipaka ya kijiografia inayowakutanisha.
-
Ayatullah A'rafi Afafanua:
HawzaMikakati 6 Muhimu ya Utoaji Huduma kwa Wanaharakati wa Hawza/ Hawza ni Mtumishi wa Watu Wapendwa
Hawza/ Mkuu wa Hawza nchini Iran alisisitiza kuwa: Bila shaka, Hawza katika historia yake daima hazikuwa taasisi za elimu na ufundishaji pekee, bali sambamba na kubainisha maarifa ya Mwenyezi…