-
Imefafanuliwa katika ripoti ya habari–Uchambuzi ya Shirika la Habari la Hawza:
DuniaDalili za wazi zinaonesha kudorora kwa Marekani kwa mujibu wa hati ya hivi karibuni ya serikali ya Trump
Hawza/ Kuchapishwa kwa Hati ya Mkakati wa Usalama wa Taifa wa Marekani kunadhihirisha wazi kwamba, kinyume na majigambo ya viongozi wa Ikulu ya White House, Marekani katika ulimwengu wa leo haina…
-
DuniaKamati ya Elimu ya Ataba Abbasiyya, Yaitembelea Taasisi ya Elimu na Utamaduni wa Kiislamu nchini Iran
Hawza/ Wajumbe wa kamati ya elimu kutoka katika Ataba Tukufu Abbasiyya walihudhuria katika Taasisi ya Elimu na Utamaduni wa Kiislamu, na katika kikao cha pamoja na wakurugenzi na marais wa vitengo…
-
DuniaVenezuela: Makubaliano ya Kusitisha Vita Ghaza Kimsingi Hayana Athari
Hawza/ Serikali ya Venezuela kwa sauti isiyo ya kawaida imekemea mashambulizi ya Israel dhidi ya Palestina, Lebanon na Syria na ikakosoa vikali ukimya wa taasisi za kimataifa mbele ya “mchakato…
-
DuniaWafanyakazi Katika Kampuni ya Ndege ya AirAsia Watavaa Hijabu
Hawza/ kampuni ya ndege ya AirAsia ambayo inajumuisha nchi kadhaa za Asia ikiwemo Indonesia, imetangaza kwamba kuanzia mwanzoni mwa mwaka 2026 wafanyakazi wake wa kike watavaa sare inayojumuisha…
-
DuniaWananchi wa Ujerumani, Wapinga Safari Aliyoifanya Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo ya Kusafiri Kwenda Israel
Hawza/ Wanaharakati wanao ihami Palestina na wanachama wa kundi la Amnesty International, siku ya Ijumaa waliandaa maandamano katika kituo cha Berlin, yakiwa na lengo la kupinga safari iliyopangwa…
-
DuniaWizara ya Mambo ya Ndani ya Palestina: Kila Msaliti Itampata yeye Hatima ya Abushabab
Hawza, Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Taifa la Palestina imethibitisha kwamba; kifo cha Yaser Abushabab ambaye alikuwa mmoja wa washirika wa utawala wa uvamizi wa Israel kinaonyesha “hatima…
-
DuniaMradi Hatari wa “Mikataba ya Is-haq”, Mtego Mpya wa Israel kwa Agentina
Hawza/ Serikali ya Javier Milei, katika mazingira yaliyojaa lawama za kimataifa dhidi ya mashambulizi ya Israel huko Ghaza, imeanzisha mpango wenye sura nyeusi unaoitwa “Mikataba ya Is-haq”.
-
Rais wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan:
DuniaArdhi ya Mitume Imetapakaa Damu ya Waliodhulumiwa, na Dunia Imenyamaza
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake, alisisitiza kuwa licha ya kuwepo kwa kile kinachoitwa makubaliano ya amani ya kulazimishwa, uvamizi na uhalifu wa…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Najaf Ashraf:
DuniaInafaa Trump Ahukuhukumiwe Kwenye mahakama za kimataifa, na si Kupewa Tuzo ya Amani ya Nobel
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qabanji alisema: Miongoni mwa mambo ya kushangaza zaidi ni kwamba Trump amedai kuwa serikali ya Iraq imependekeza apewe Tuzo ya Amani ya Nobel!…