-
DuniaSheikh Zakzaky Akutana na Wanazuoni na Wazee Kutoka Sehemu Mbalimbali Nchini Nigeria
Hawza/ Kundi la wanazuoni na wazee kutoka maeneo mbalimbali ya nchi ya Nigeria walikutana na kufanya mazungumzo na Sheikh Ibrahim Zakzaky katika makazi yake.
-
DuniaNchi za Kiislamu Zimetoa Onyo Kuhusiana na Mpango Mchafu wa Israel Huko Rafah
Hawza/ Nchi za Qatar, Misri na nchi nyingine sita za Kiislamu zimelaani vikali hatua ya Israel ya kufungua upande mmoja wa mpaka wa Rafah kwa njia ambayo inaruhusu tu kukimbia kwa wananchi wa…
-
DuniaHispania Inaunga Mkono Kuundwa kwa Kola ya Palestina
Hawza/ José Manuel Álvarez, Waziri wa Mambo ya Nje wa Hispania, amekiri kwamba: ghasia za walowezi wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi zimevuka mipaka ya udhibiti. Sisi tunatambua…
-
DuniaRadi Amali ya Jumuiya ya Wanazuoni Qum Iran, Kuhusiana na Kauli za hivi karibuni zilizojaa matusi dhidi ya Ahlul-Bayt (a.s.)
Hawza/ Jumuiya ya Wanazuoni wa Chuo cha Elimu ya Dini cha Qom, kwa kutoa tamko rasmi, imeonesha msimamo wake dhidi ya kauli za matusi na dharau zilizotolewa dhidi ya Ahlul-Bayt wa Isma (a.s.)…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyya (58)
DiniMapinduzi kabla ya kudhihiri Imam Mahdi (a.s.)
Hawza/ Baadhi ya watu, wakitegemea baadhi ya riwaya, wamefikia hatua ya kudhania kwamba aina yoyote ya harakati dhidi ya watawala madhalimu kabla ya kudhihiri kwa Imam wa Zama (a.s.) ni haramu;…