Jumatatu 21 Septemba 2026 - 15:30
Hawzah ya Najaf Yasitisha Masomo na Kutangaza Maombolezo ya Umma Kufuatia Kufariki Dunia Ayatullah al-Udhma Zanjani

Hawza/ Hawzah ya Najaf Tukufu imetangaza maombolezo ya umma na kusitisha masomo yake kufuatia kufariki dunia Ayatullah al-Udhma Sayyid Musa Shubayri Zanjani.

Kwa mujibu wa kitengo cha tarjuma cha Shirika la Habari la Hawza, Hawzah ya Najaf Tukufu, kufuatia kufariki dunia Ayatullah al-Udhma Musa Shubayri Zanjani, imetangaza maombolezo ya umma na kusitisha masomo yake.

Inafaa kutajwa kwamba Hadhrat Ayatullah Sayyid Musa Shubayri Zanjani amefariki dunia tarehe 30 Shahrivar 1405 (Sept 21 2026), akiwa na umri wa miaka 98, mjini Qom, kutokana na kutokwa na damu ndani ya mwili.

Hawzah ya Najaf Tukufu, kwa mnasaba huu, imetangaza maombolezo ya umma na kusitisha masomo yake.

Hawzah ya Najaf Yasitisha Masomo na Kutangaza Maombolezo ya Umma Kufuatia Kufariki Dunia Ayatullah al-Udhma Zanjani

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha