Hawza/ Wanazuoni na wanafunzi wa Hawza wenye ghera (wivu) na dini na mapinduzi, sambamba na kufanya upya kiapo na ahadi yao kwa Kiongozi wa Waislamu wa ulimwengu, wameupa thamani utekelezaji…
Kinyume na dhana iliyojengeka, maktaba ya Najaf hayajawahi kujitenga na siasa, bali katika historia yake imekuwa na nafasi muhimu katika mageuzi ya kisiasa. Kuanzia ushiriki wake katika harakati…