Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Hawza, wabunge katika kikao cha wazi cha asubuhi ya leo cha Bunge la Kiislamu la Iran, wakati wa kuangazia vipengele vya jumla vya mswada wa kulazimisha serikali kusitisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki, walikubaliana na vipengele vya jumla vya mswada huo.

Bunge la Kiislamu la Iran limesitisha kuendeleza ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki
Hawza/ Wabunge wa Bunge la Kiislamu la Iran, katika kikao cha wazi cha leo Bungenj, wamepitisha vipengele vya jumla na vya kina vya mswada wa kusitisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki.
Maoni yako