Shahada ya Bibi Zaharaa (as) (18)
-
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Baghdad Afafanua:
DuniaKuanzia Sauti ya Haki ya Bibi Fatimah Zahraa (as) Hadi Kudhihirika Mwenendo Wake Katika Harakati za Imam Hussein (as)
Hawza/ Dkt. Alaa Abdulhasan Al-Zughaybi, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Baghdad, amesisitiza kuwa; tamasha la 11 la kitamaduni la «Al-Siddiqah Al-Tahirah (s.a.)» ni fursa ya kupata mwongozo na msukumo…
-
DuniaMaadhimisho ya Tamasha la Utamaduni la Bibi Fatimah Zahraa (s.a.) Yafanyika Katika Chuo Kikuu cha Baghdad kwa Ushiriki wa Wanafunzi 1,500 + Picha
Hawza/ Atabat Abbasiyya Tukufu imeandaa Tamasha la 11 la Utamaduni la kila mwaka la Bibi Fatimah Zahraa, maarufu kwa jina la As-Siddiqah At-Tahirah (s.a.), katika Chuo Kikuu cha Baghdad nchini…
-
HawzaAyatullah Arafi Afafanua Sifa Sita Muhimu za Khutba ya Fadaki na Masharti ya Wanafunzi wa Hawza Kutekeleza Wajibu Wao wa Kimataifa Usio na Mipaka ya Kijiografia
Mkuu wa Hawza nchini Iran, Ayatullah Arafi, akizungumzia nafasi ya mwanafunzi wa elimu za kidini na jukumu kubwa lililo mabegani mwake, amesisitiza kuwa: “Kazi mliyoibeba ni kubwa mno na yenye…
-
DuniaKiongozi mmoja wa Kihindu atoa maelezo ya kuvutia kuhusiana na hadhi ya Bibi Fatimah Zahra (as)
Hawza/ Yogi Chandra Nath Maharaj, mmoja wa viongozi wa kidini wa Wahindu nchini Nepal, akizungumzia nafasi na hadhi ya juu ya Bibi Fatimah Zahra (as), alisema: “Waislamu hawana haja ya kutafuta…
-
Ayatullah Saidii katika Swala ya Ijumaa mjini Qum
DuniaNguvu ya jamii ya Kiungu huchipuka kutokana na kumtumikia Mwenyezi Mungu, si katika kujitegemea na kujiona bora
Hawza/ Imamu wa Swala ya Ijumaa mjini Qum, akieleza kwamba Mwenyezi Mungu ameunganisha ghadhabu na ridhaa Yake na ghadhabu na ridhaa ya Bibi Fatimah (sa), ili kuwaweka Waislamu katika njia ya…
-
Rais wa Baraza la Wanazuoni wa Shia Pakistan:
DuniaIqbal Lahori Ameonesha Mapenzi na Upendo Wake kwa Bibi Fatima Zahra (s.a.) Kupitia Mashairi Mazuri
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake, ameuelezea mwenendo wa Bibi Fatima Zahra (s.a.) kuwa ni mfano wenye thamani kubwa katika kuhifadhi utu na haki za wanawake,…
-
DuniaMaombolezo ya Kila Mwaka ya Fatimiyyah Yafanyika Najaf Ashraf kwa Ushiriki wa Ayatullah Al-Udhma Bashir Najafi
Hawza/ Sambamba na kumbukumbu ya mwaka wa kuuwawa shahidi Bibi Fatimah Zahra (s.a.), msafara wa maombolezo wa kila mwaka wa Fatimiyyah umefanyika katika mji mtakatifu wa Najaf Ashraf, kwa ushiriki…
-
Ayatullah Mudarrisi:
DuniaKujitolea na Kujitoa Muhanga Bibi Fatimah Zahra (s.a.) Ilikuwa Ngao ya Kuulinda Umma wa Kiislamu Dhidi ya Upotovu
Hawza/ Ayatullah Sayyid Muhammad Taqi Mudarrisi, miongoni mwa wanazuoni wa Iraq, amesisitiza kwamba; misimamo ya kihistoria ya Bibi Fatimah Zahra (s.a.) ilifanya kazi kama “mfumo wa kinga”. Amesema…
-
Katika Mazungumzo na Naibu Mkuu wa Hawza ya Qom:
HawzaKwa Nini Wenye Kiburi na Mabavu Duniani Wameshindwa Kushinda Urithi wa Mapambano wa Bibi Fa'tima Zahra (sa)?
Hawza/ Suratul-Kawthar si bishara tu ya kuendelea kwa kizazi cha Mtume (saww), bali ni ahadi ya Mwenyezi Mungu kuhusu kudumu njia ya Ahlul-Bayt (as) na mwisho wa maadui waliokuwa wakimwita Mtume…
-
Katika Mahojiano na Mhadhiri na Mtafiti wa Elimu ya Vyombo vya Habari Imechambuliwa:
DuniaJinsi ya Kuufafanua Upya Mwenendo wa Bibi Fatima Zahra (as) kwa Wasichana na Wanawake wa Leo?
Hawza/ Bila shaka, mwenendo na maisha ya Bibi Fatima Zahra (sa) ni mfano bora kabisa wa ustahimilivu kwa binadamu katika nyanja za mtu binafsi na kijamii, hususan kwa wanawake na wasichana wa…
-
Imam wa Swala ya Ijumaa wa Skardu, Pakistan:
DuniaMaombolezo ya Bibi Fatima Zahra (sa) ni Kuifanya Upya Ahadi ya Kushikamana na Malengo ya Ahlul-Bayt (as)
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sheikh Muhammad Hassan Jaafari, huku akisisitiza umuhimu wa kuhifadhi kumbukumbu ya dhuluma alizofanyiwa Bibi Fatima Zahra (sa), amesema kuwa; kushiriki katika…
-
DiniUtukufu wa ibada ya Bibi Zahraa (a.s) Kulingana na Mtazamo wa Ayatullah A-Udhma Javadi Amoli
Hawza/ Ayatullah Javadi Amoli amebainisha kuwa: Bibi Zahraa (a.s) alipokuwa akisimama kuswali alikuwa akijikita kiasi kikubwa kwenye utukufu wa Mwenyezi Mungu na kupotea kabisa katika jalali…
-
DuniaMoscow Yafanya Hafla ya Kumbukizi ya Shahada ya Bibi Zahraa (a.s) katika Kituo cha Kiislamu
Hawza/ Hafla ya kila wiki inayofanywa katika Kituo cha Kiislamu nchini Moscow imefanyika sambamba na kuadhimisha siku za Fatimiyya.
-
DiniJawabu kwa Shubha ya Kihistoria: Je, ni Kweli Nyumba ya Bibi Zahraa (a.s) Ilichomwa Moto?
Hawza/ Katika kipindi kilichoandaliwa huku akihudhuria Hujjatul-Islam Muhammadi Shahroudi, palisisitizwa juu ya kupata maarifa ya Fatimiyyah kama ufunguo wa kufumbua fumbo la historia, na kuchambua…
-
Uchambuzi na Utafiti wa Fatwimiyya Uliofanywa na Ustadh Husseini Qazwini:
HawzaDaraja na Hadhi ya Bibi Fatima Zahra (a.s) Katika Vyanzo vya Ahlus-Sunna
Hawza/ Rais wa Taasisi ya Utafiti ya Hujjat Wali al-Asr (a.t.f.s) amesema: Miongoni mwa hadithi nyingi zilizopo katika vitabu visivyo vya Kishia kuhusu daraja ya Bibi Fatima Zahra (a.s), ni hadithi…
-
Ayatollah Kaabi:
DuniaMapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni Mwanga Uliotokana na Nuru ya Kusimama Imara Bibi Zahraa (a.s.)
Hawza/ Mjumbe wa Uongozi wa Baraza la Wanazuoni (majlis khobregan) amesema: “Kusimama imara Bibi Zahraa (a.s.) kulikuwa na baraka; na miongoni mwa baraka hizo ni Ashura, na miongoni mwa baraka…
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Qom Iran:
DuniaMaktaba ya Fātimiyya ndiyo uti wa mgongo wa harakati za kimungu katika historia
Hawza/ Ayatullah Sa’īdī alisema: Harakati kubwa za kimungu katika historia zimejengeka juu ya malezi, uongofu na mfumo wa fikra wa maktaba ya Fātimiyya.
-
Ayatullah al-Udhma Wahid Khorasani:
DiniKuhuisha Masiku ya F'atwimiyya ni Utumishi Ulio Mkubwa Zaidi
Hawza/ Ayatullah Wahid Khorasani walisema: “Utumishi ulio mkubwa zaidi siku hizi ni kuhuisha masiku ya bibi Fatimah. Jambo la Bibi Zahra (amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake) lina upekee kwa…