Fiqhi (8)
-
DiniHukumu za Kisheria | Wajibu wa Kisheria katika kukabiliana na mali isiyojulikana mmiliki
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Khamenei amejibu swali la kidini kuhusu hukumu ya kisheria na namna ya kuchukua hatua katika kukabiliana na mali isiyojulikana mwenyewe (مجهولالمالك).
-
DiniMtazamo wa Mar'aji‘ taql'id Kuhusiana na Sherehe ya mwezi Tisa Rabi‘u al-Awwal na Kutoheshimu wanavyo vitukuza Ahlus-Sunna
Hawzah/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Maraji‘ wakubwa wa taql'id, kupitia tamko na fatwa zao, wanazingatia kwamba; kutusi matakatifu ya madhehebu ya Kiislamu, ni kitendo haramu, chenye…
-
DiniHukmu za Kisheria | Kuungana na Imamu wa Swala ya Jamaa kupitia wanawake
Hawza / Mtukufu Ayatullah Khamenei amejibu istiftaa kuhusu hukmu ya kisheria ya namna ya kuungana na imamu wa swala ya jamaa kupitia wanawake
-
DiniHukumu za Kisharia | Kumfuata Imamu wa Jamaa Asiyefahamika Katika Mikusanyiko ya Umma
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Khamenei amejibu swali la kifiqhi kuhusiana na hukumu ya kisheria ya kumfuata Imamu wa jamaa asiyefahamika katika mikusanyiko ya umma.
-
DiniHukumu za Kisheria | Ndoa katika Miezi ya Muharram na Safar
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Khamenei amejibu istift'a kuhusiana na hukumu ya kisheria ya kufunga ndoa katika miezi ya Muharram na Safar.
-
DiniHukumu za Kisheria | Kupinga Matokeo ya Istikhara
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Sayyid Ali Husaini Sistani amejibu swali la istiftaa kuhusu kupinga matokeo ya istikhara na njia za kujiepusha na majuto baada ya kuifanya.
-
Hukumu za kisheria:
DiniHukumu ya mvuke na kioevu kinachotokana na najisi ni ipi?
Hawza / Mtukufu Ayatullah Khamenei amejibu swali kuhusiana na hukumu ya mvuke wa najisi na kioevu kinachotokana na najisi hiyo.
-
Hukumu za Kisheria za Kiislamu:
DiniUongo katika Mzaha
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi amejibu swali lililo angazia kuhusiana na “uongo wa mzaha”.