Qum Iran (10)
-
DuniaTrump! Utaona kitakachotokea
Hawza/ Bango lililobebwa katika hafla ya kumuaga Kiongozi Shahidi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jijini Tehran, lilimuelekezea maneno haya Trump, anayefahamika kama mcheza kamari: "Utaona kitakachotok…
-
DuniaQum Yatoa Heshima za Mwisho kwa Kiongozi Shahidi wa Umma; Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli Aongoza Swala ya Maiti
Hawza/ Katika mazingira yaliyogubikwa na huzuni, utiifu na mshikamano wa waumini, Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli leo asubuhi ameongoza Swala ya maiti juu ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi…
-
DuniaAyatullah al-Udhma Jawadi Amuli Abusu Kilemba cha Bwana Shahidi
Hawza/ Hadhrat Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli, alipofika karibu na mwili mtukufu wa Shahidi mpendwa, Hadhrat Ayatullah al-Udhma Imam Khamenei (Quddisa Sirruhu ash-Sharif), pamoja na mashahidi…
-
DuniaRipoti ya Dakika kwa Dakika ya Hafla ya Kuaga na Mazishi ya Imam Shahidi Jijini Qom/ Msimamo wa Wanaodai Damu ya Bwana Shahidi + Picha
Hawza/ Hatimaye wakati uliokuwa ukisubiriwa wa ziara ya mwisho ya Bwana Shahidi katika Msikiti Mtukufu wa Jamkaran na kukutana kwa Umma wa Kiislamu na kiongozi wao katika mji wa Bibi Mtukufu…
-
HawzaAyatullah A'rafi Awataka Wananchi Kukamilisha Jihadi Yao kwa Kushiriki kwa Wingi katika Mazishi ya Kiongozi Shahidi
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran ametoa wito kwa wanaume na wanawake wenye uthubutu na ushujaa, wasomi wa vyuo vikuu, vijana wapendwa, wanazuoni wa dini na wananchi wote wa Jamhuri ya Kiislamu…
-
DuniaAyatullah al-Udhma Jawadi Amuli Ataongoza Swala ya Maiti Juu ya Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Iran Jijini Qum
Hawza/ Kamati ya Habari ya Makao Makuu ya Mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu mjini Qum imetangaza kuwa; Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli ataongoza Swala ya Maiti juu ya mwili…
-
DuniaRatiba Kamili ya Mazishi ya Imam Shahidi Jijini Qom Iran, Yatangazwa
Hawza/ Mwenyekiti wa Kamati ya Kuandaa Hafla ya Kuaga na Kusindikiza Mwili wa Imam Shahidi katika mji wa Qom Iran, amesema kuwa hafla ya kusindikiza mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya…
-
DuniaMlipuko wa hisia za watu wa Qum katika kuadhimisha Siku ya Qudsi/ Kiapo cha utii cha umma kwa Walii wa Amri/ Tuko tayari kujitoa hadi roho kwa ajili ya Iran
Hawza/ Matembezi ya kuvunja nguvu za maadui ya Siku ya Qudsi mwaka huu katika chimbuko la Mapinduzi ya Kiislamu pia yana wageni maalumu; leo miili mitakatifu ya mashahidi wapendwa inabebwa juu…
-
HawzaMji wa Qum, nchini Iran haujawahi kuachana na dini
Hawza/ Akizungumzia umuhimu wa nafasi ya Qum katika historia ya elimu na dini, alisema kuwa Qom tangu zamani imejulikana kama kituo cha kielimu na kidini. Mji huu kwa zaidi ya miaka 1200 umekuwa…
-
Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qum Iran:
HawzaUmma wa Kiislamu umesimama imara kwa kujitoa mhanga hadi uhai wao kwa ahadi na mapatano yao na Imam Khamenei
Hawza/ Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Kielimu ya Qum, katika kuitikia kauli za puo na zisizo na maana za Rais wa Marekani mwenye dhana potofu, imesisitiza kwamba: Umma wa Kiislamu, kama wafuasi…