-
DuniaHatua mpya za vyombo vya usalama vya Bahrain dhidi ya Maulamaa wa Kishia zafichuliwa
Hawza/ Shirika la Salam la Demokrasia na Haki za Binadamu nchini Bahrain limesikitishwa na kulaani ukiukaji wa haki za binadamu pamoja na vitendo visivyofaa vilivyofanywa dhidi ya idadi ya maulamaa…
-
Muungano wa Vijana wa Mapinduzi wa Bahrain:
DuniaWananchi wa Bahrain wabebe jukumu la kumsimamisha mtawala wa Bahrain!
Hawza/ Muungano wa Vijana wa Mapinduzi ya Februari 14 nchini Bahrain umeionya tena serikali ya Aal Khalifa kwamba; kuendelea kutegemea nguvu za uvamizi na uharibifu zinazoongozwa na watu wanaowataja…
-
DuniaVyama vya Mapinduzi vya Bahrain yvatoa wito wa mshikamano na Maulamaa waliofungwa magerezani
Hawza/ Wawakilishi wa vyama vya mapinduzi vya Bahrain wamesisitiza yaliyopo katika taarifa ya Ayatullah Sheikh Issa Qassim, ambayo imeelezea hali ya Bahrain kuwa ni "tishio la uwepo" dhidi ya…
-
DuniaZaidi ya Wapalestina 40 wakamatwa katika uvamizi uliofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni huko Ukingo wa Magharibi
Hawza/ Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni, katika kuendeleza mashambulizi yao katika maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi, wamevamia mji wa Tal ulioko magharibi mwa Nablus na kuwakamata zaidi…
-
Meya wa London:
DuniaNetanyahu hana nafasi mjini London
Hawza/ Meya wa London amesisitiza kwamba Benjamin Netanyahu anapaswa kukamatwa iwapo atasafiri kwenda Uingereza, na ametangaza kuwa atailazimisha serikali kuu ya nchi hiyo kutekeleza hati ya…
-
Kauli ya Mtawala wa Bahrain Kulielekea Kundi la Kigaidi la al-Jolani:
DuniaWashambulieni Mashia wa Bahrain na mtapewa uraia!
Hawza/ Rashid Abdullah Al Khalifa, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Bahrain, katika ziara rasmi nchini Syria, alikutana na Abu Mohammad al-Jolani, kiongozi wa Jabhat al-Nusra, ambao wametajwa katika…
-
Kataib Sayyid al-Shuhadaa (as):
DuniaKisasi cha damu ya Mazuwari wa Imam Hussein (as) kitakuwa jinamizi la mauti kwa wavamizi
Hawza/ Ofisi ya Muqawama wa Kiislamu ya Kataib Sayyid al-Shuhadaa (as) imeeleza kuwa; kitendo cha kigaidi cha Marekani na utawala wa Kizayuni cha kuwalenga mazuwari wasio na ulinzi wa Haram ya…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaMatembezi ya Arubaini yamedhihirisha kushindwa mipango ya Marekani
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi amesisitiza kwamba; matembezi ya Arubaini si tukio la kidini au ibada pekee, bali ni nembo kubwa ya Mwenyezi Mungu yenye nyanja za kidini, kisiasa, kijamii…
-
DuniaMkutano Mkuu wa Kamati ya Arubaini ya Hawza na Masheikh, pamoja na Viongozi wa Kikabila wa Mkoa wa Al-Muthanna Wafanyika/ Yasisitizwa Umoja na Mshikamano wa Umma wa Kiislamu
Hawza/ Mkuu wa Kamati ya Arubaini ya Hawza za Kielimu amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la masheikh pamoja na viongozi wa makabila wa Mkoa wa Al-Muthanna.