Jumatano 2 Julai 2025

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni yafika hadi nchini Sweden

    HawzaMaandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni yafika hadi nchini Sweden

    Hawza/ Mamia ya Waswidi walikusanyika mjini Stockholm, mji mkuu wa Sweden, ili kulaani jinai zinazifanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

    2025-07-01 23:41
  • Maelfu ya Wazayuni waandamana kulalamikia kushindwa kwa Netanyahu kuwaokoa mateka

    DuniaMaelfu ya Wazayuni waandamana kulalamikia kushindwa kwa Netanyahu kuwaokoa mateka

    Hawza/ Makumi ya maelfu ya Wazayuni waliandamana kupinga hali yao ya sasa na kushindwa kwa serikali yao kuwaokoa mateka walioko katika Ukanda wa Ghaza.

    2025-07-01 23:40
  • Kushamiri kwa mashambulizi dhidi ya Waislamu baada ya ushindi wa Zahran Mamdani katika uchaguzi wa umeya New York

    DuniaKushamiri kwa mashambulizi dhidi ya Waislamu baada ya ushindi wa Zahran Mamdani katika uchaguzi wa umeya New York

    Hawza/ Ushindi wa Zahran Mamdani kama Meya Mwislamu wa jiji la New York katika uchaguzi, kumezua mashambulizi na chuki nyingi dhidi ya Waislamu huko New York na Marekani kwa ujumla, kiasi cha…

    2025-07-01 23:39
  • Kupanuka kwa wigo wa maandamano dhidi ya kuvunjiwa heshima maombolezo ya Bwana wa Mashahidi (as) nchini Pakistan

    DuniaKupanuka kwa wigo wa maandamano dhidi ya kuvunjiwa heshima maombolezo ya Bwana wa Mashahidi (as) nchini Pakistan

    Hawza/ Baadhi ya maafisa wa Baraza la Umoja wa Waislamu wa Pakistan, katika mkutano na wanahabari uliofanyika Lahore, Pakistan, walieleza wasiwasi wao kuhusu vikwazo vinavyowekwa dhidi ya alama…

    2025-07-01 23:39
  • Makazi ya Imam Mahdi (as) katika Kipindi cha Ghaiba Kubwa

    Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 33

    DiniMakazi ya Imam Mahdi (as) katika Kipindi cha Ghaiba Kubwa

    Hawza/ Ikiwa katika mada ya "ghaiba", mambo kama mahali alipo Imam (as), chakula chake n.k. yasibainike wazi, hilo halileti shaka wala dhana yoyote; vivyo hivyo, kubainika kwa mambo hayo hakuhusiki…

    2025-07-01 00:21
  • Mtu yeyote au utawala wowote unaomtishia Kiongozi na marja'iyya hukumu yake ni sawa na muharib (Mtu mwenye kuupiga vita uislamu) / Ushirikiano kati ya serikali za Kiislamu na adui ni haramu

    Ayatollah al-Udhma Makarim Shirazi:

    HawzaMtu yeyote au utawala wowote unaomtishia Kiongozi na marja'iyya hukumu yake ni sawa na muharib (Mtu mwenye kuupiga vita uislamu) / Ushirikiano kati ya serikali za Kiislamu na adui ni haramu

    Hawza/ Ayatollah Makarim Shirazi amesema bayana kuwa: Mtu yeyote au utawala wowote unaonuia kuupiga uma wa Kiislamu na mamlaka yake kwa kuutishia uongozi na marja'iyya, au (Allah aepushe) kuuvunjia…

    2025-07-01 00:17
  • Aina yoyote ya shambulio au tishio dhidi ya Ayatollah Khamenei kutoka kwa mtu au serikali yoyote hukumu yake ni sawa na "muharib" (Mtu anae upiga vita uislamu)

    Ayatollah al-Udhma Nuri Hamedani:

    HawzaAina yoyote ya shambulio au tishio dhidi ya Ayatollah Khamenei kutoka kwa mtu au serikali yoyote hukumu yake ni sawa na "muharib" (Mtu anae upiga vita uislamu)

    Hawza/ Ayatollah Nuri Hamedani ametoa jibu kutokana na ombi la “kutoa hukumu na fatwa ya kihistoria dhidi ya kuwepo na maslahi yote ya Marekani inayofanya jinai na wazayuni wa kimataifa” kufuatia…

    2025-07-01 00:16
  • Maombolezo ya Muharram yanapaswa kubadilika kuwa uwanja wa mapambano dhidi ya dhulma

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (as) (Majm'a Jahanii):

    DuniaMaombolezo ya Muharram yanapaswa kubadilika kuwa uwanja wa mapambano dhidi ya dhulma

    Hawza/ Ustadh Ramadhanii amesema kuwa: Iwapo vikao vya Imam Hussein (as) havitahusisha matatizo ya leo ya Uislamu na masaibu ya Maimamu (as), basi havijatumika ipasavyo kwa uwezo wake kamili.

    2025-07-01 00:15
  • Mapambano ya Ayatollah al-Udhma Khamenei dhidi ya ukafiri ni ulinzi kwa Waislamu wote duniani

    Jumuiya ya Ahladar ya Uturuki:

    DuniaMapambano ya Ayatollah al-Udhma Khamenei dhidi ya ukafiri ni ulinzi kwa Waislamu wote duniani

    Hawza / Jumuiya ya Ahladar nchini Uturuki imetangaza kuwa: Mapambano haya ambayo Kiongozi wetu mpendwa, Ayatollah Khamenei, ameanzisha kwa kaulimbiu “Mhimizo wa muqawama unapendelea kufa kishujaa…

    2025-07-01 00:14

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom