Hawza/ Mratibu Mkuu wa Mhimili wa Harakati ya Kiislamu nchini Lebanon, huku akirejea Aya Tukufu isemayo: «وَاعْتَصِمُوا بِحَبْلِ اللَّهِ جَمِيعًا وَلَا تَفَرَّقُوا», ameashiria dalili za kukaribiana…
Hawza/ Kituo cha Uangalizi wa Haki za Binadamu Syria kimetangaza kwamba kimeorodhesha vifo vya watu 10,672, wakiwemo 3,020 waliouawa katika mauaji ya kiholela kwa kunyongwa.
Hawza/ Vyanzo vya habari vya kuaminika vimeripoti kuhusu kuongezeka kwa operesheni za kuhamisha watu kwa mfumo maalumu inazofanywa na vikosi vya al-Jaulani, ambavyo vinalenga koo mbalimbali mjini…
Hawzah/ Makundi ya kijamii katika mkoa wa Sweida nchini Syria, makazi ya Wadrusi, katika siku za hivi karibuni wametangaza kuungana kwao katika Gadi ya Kitaifa kwa lengo la kuunganisha jitihada…