Marekani imefuta visa za wanafunzi wa kigeni 300 kwa sababu ya kushiriki maandamano ya kuunga mkono Palestina katika vyuo vikuu vya nchi hiyo.
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameionya Marekani dhidi ya kutumia lugha ya vitisho dhidi ya Iran.
Ted Galen Carpenter, mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kijeshi wa Marekani amemtahadharisha rais wa nchi hiyo Donald Trump na matokeo hatari ya kuanzisha vita dhidi ya Iran.