Hawza/ Waziri Mkuu wa Malaysia ametangaza kwamba endapo raia wa Israel watabainika kuwepo nchini humo, watafukuzwa mara moja, kwa kuwa Malaysia haiutambui rasmi utawala wa Israel.
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, huku akisisitiza juu ya umuhimu wa uwepo wa kina na wa kivitendo wa Hawza katika uwanja wa kimataifa, amesema: uzalishaji wa kielimu unaolingana na lugha…
Hawzah/ Mkurugenzi wa Hawzah nchini Iran pamoja na ujumbe alioambatana nao wakiwa na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Malaysia walikutana na Mheshimiwa Anwar Ibrahim, Waziri Mkuu…
Hawza/ Mkutano wa pili wa Kimataifa wa Viongozi wa Kidini Duniani umeanza duru yake mjini Kuala Lumpur ukiwa na ushiriki wa Ayatollah Alireza Arafi, Mkurugenzi wa Hawza Iran, pamoja na zaidi…