Hawza/ Sheikh Zakzaky amesema kuwa; Iran inajilinda vyema dhidi ya uvamizi wa adui Mzayuni, huku dunia nzima ikishuhudia vipimo viwili vya haki za binadamu vinavyotumika na Magharibi, pamoja…
Hawza/ Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria inayoongozwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky iliandaa hafla ya kumbukumbu ya kufikia mwaka mmoja wa mashahidi wa ajali ya ndege iliyotokea mwezi Mei, siku…
Hawza/ Sheikh Sayyid Ibrahim Zakzaky amekutana na baadhi ya watu waliokuwa wamefungwa kwa muda wa miaka sita lakini hatimaye wameachiwa huru baada ya kufutiwa mashtaka.