Msafara wa Kimataifa wa Sumud (10)
-
DuniaWaustralia Wameingia Barabarani Kuiunga Mkono Meli ya Sumud
Hawza/ Wanaharakati wa masuala ya kibinadamu siku ya Jumanne walifanya mkusanyiko wa maandamano katika jengo la Bunge la Australia kupinga namna ambayo utawala bandia wa Israel ulivyowatendea…
-
DuniaKundi la Wadukuzi Linalohusishwa na Iran Katika Shirika Rasmi la Habari la Uturuki
Hawza/ Shirika rasmi la habari la Uturuki limeripoti kwamba; kundi la wadukuzi la Hanzala limechapisha taarifa binafsi za wanajeshi 69 wa Israel ambao walishiriki katika shambulio dhidi ya Msafara…
-
DuniaRekodi ya Wiki 129 za Mfululizo ya Kuiunga Mkono Ghaza yawekwa nchini Tunisia
Hawza/ Kwa kaulimbiu ya “Pamoja kwa ajili ya kuvunja mzingiro”, mapigo ya moyo ya mitaa ya Tunisia yanaendelea kwa uthabiti na bila kuyumba, yakisisitiza kwamba; dira ya Palestina katika nyoyo…
-
Mwanaharakati wa Meli ya Samud, Dkt. Korpinar:
DuniaKunyamaza mbele ya jinai ni sawa na kushirikiana na Marekani na Israe/ Wakati umefika wa kuchukua hatua, si kuwa watazamaji tu
Hawza/ Iqbal Korpinar, mwanaharakati wa Meli ya Samud nchini Uturuki, amesisitiza kwamba; kunyamaza mbele ya jinai zinazofanyika Ghaza na Minab ni kushirikiana na Marekani na Israel, amesema…
-
DuniaHasira ya Uturuki kutokana na namna walivyoshughulikiwa wanaharakati wa “Msafara wa Kimataifa wa Sumud”; “Ushenzi huu utaandikwa katika historia”
Hawza/ Maafisa wakuu wa Uturuki, huku wakilaani namna waziri mmoja wa Israel alivyowafanyia vurugu za maneno na kimwili wanaharakati wa “Msafara wa Kimataifa wa Sumud”, alieleza hatua hiyo kuwa…
-
DuniaMsafara wa kimataifa wa meli za “Sumud” kwa mara nyingine umeelekea Ghaza kwa lengo la kuvunja mzingiro wa baharini
Hawza/ Makumi ya meli zilizobeba wanaharakati wa kimataifa na misaada ya kibinadamu ya mfano, katika mfumo wa msafara wa kimataifa wa “Sumud”, zimeondoka kutoka Ugiriki na bandari ya Marmaris…
-
DuniaSimulizi ya mmoja wa wasafiri wa msafara wa “Sumud” kuhusu ukatili wa vikosi vya Israel: Walitutesa na mali zetu zilipotea
Hawza/ Mmoja wa wasafiri wa msafara wa “Sumud”, akielezea kwa kina maelezo ya kukamatwa kwa meli hiyo na vikosi vya Israel, alizungumzia kuhamishwa kwa lazima kwa abiria kwenda kwenye meli nyingine,…
-
DuniaMalalamiko dhidi ya uwepo wa kampuni zinazohusiana na viwanda vya kijeshi vya Israel katika maonesho ya ulinzi ya Istanbul
Hawza/ Sambamba na kufanyika kwa Maonesho ya Kimataifa ya Viwanda vya Ulinzi ya SAHA 2026 mjini Istanbul, uwepo wa baadhi ya kampuni zinazotuhumiwa kusambaza silaha na teknolojia za kijeshi kwa…
-
DuniaUhispania yataka kusimamishwa ushirikiano wote kati ya Israel na Ulaya baada ya shambulio dhidi ya meli za Samud
Hawza/ Waziri Mkuu wa Uhispania, Pedro Sánchez, ameutaka Umoja wa Ulaya kuchukua hatua za haraka za kusimamisha makubaliano yake ya ushirikiano na Israel kufuatia shambulio dhidi ya msafara wa…
-
DuniaUchunguzi wa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Istanbul kuhusu shambulio la Israel dhidi ya msafara wa kimataifa wa “Sumud” waanza kufanyika
Hawza/ Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Istanbul, kufuatia shambulio la jeshi la Israel dhidi ya msafara wa kimataifa wa “Sumud” katika maji ya kimataifa, imeanza moja kwa moja uchunguzi wa…