Katibu Mkuu wa Hizbullah (11)
-
Sheikh Ali Daamoush:
DuniaMpango wa Hizbullah wa Makazi kwa Wakimbizi na Waathiriwa wa Vita Kuanza Rasmi
Hawza/ Mwenyekiti wa Baraza la Utendaji la Hizbullah alisisitiza: Chaguo la mapambano ya muqawama ni dharura ya kitaifa ambayo katika kivuli cha uwepo wa uvamizi, mashambulizi na tamaa za Kizayuni…
-
DuniaSheikh Naim Qassem Aipongeza Hawza ya Qum Kufuatia Kutuma Ujumbe wa Wanazuoni wa Hawza Nchini Lebanon
Hawza/ Katibu Mkuu wa Wapambanaji wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem, ametuma barua kufuatia ujumbe uliotumwa na Hawza ya Qum wa kuhudhuria hafla ya kumbukumbu ya pili ya kuuwawa kishahidi Sayyid…
-
Sheikh al-Khatib:
DuniaKifo cha Kishahidi cha Sayyid Nasrullah Si Hasara Kwetu, Bali ni Funzo Katika Njia ya Haki
Hawza/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia Lebanon, katika mkutano na ujumbe wa Hawza ya Qom, amesema: Yeyote anayevuka bahari ataamini kwamba baada ya kuvuka kutapatikana faraja…
-
DuniaUjumbe wa Katibu Mkuu wa Asaib Ahl al-Haq katika Maadhimisho ya Kifo cha Kishahidi cha Nasrullah: Hatutarudi Nyuma Katika Njia ya Muqawama
Hawza/ Katibu Mkuu wa Harakati ya Asaib Ahl al-Haq ya Iraq, katika taarifa iliyotolewa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa kifo cha kishahidi cha Sayyid Hassan Nasrullah, amesema: Sayyid Nasrullah…
-
Sheikh Ghazi Hanina:
DuniaTutaendelea kuwa waaminifu kwenye ahadi yetu kwa Sayyid Nasrullah hadi Palestina ikombolewe na wavamizi waondolewe
Hawza/ Mkuu wa “Muungano wa Wanazuoni wa Kiislamu wa Lebanon” amesisitiza kushikamana na ahadi ambayo wana wa Muqawama waliitoa kwa Sayyid Hassan Nasrullah, Shahidi wa Umma.
-
DuniaHawza yatoa pongezi kutokana na uelewa na utambuzi wa kina wa Mashia wa Lebanon
Hawza/ Ujumbe uliotumwa na Hawza kwenda Lebanon umeshiriki katika hafla ya kumbukumbu ya mwaka wa pili wa kuuwawa kishahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashim Swafiyu al-Din (Mwenyezi Mungu…
-
Taarifa ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran:
Dunia“Sayyid wa Muqawama yu hai; njia yake inaendelea kwa utukufu na uwezo wa hali ya juu”
Hawza/ Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, huku likitoa heshima katika kumbukumbu ya mwaka wa pili wa kuuwawa kishahidi Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, limetilia…
-
DuniaSimulizi za Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi kuhusu Jihadi za Sayyid Hassan Nasrullah; Je! Hizbullah iligeukaje kuwa “Mti Mwema”?
Hawza/ Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika hotuba zake mbalimbali, amemtaja Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah kuwa miongoni mwa watu mashuhuri katika jihadi, ushujaa, busara na kujitolea,…
-
DuniaUzinduzi wa kazi tatu mpya zinazomhusu Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah (ra)
Hawza/ Kazi tatu mpya za Taasisi ya Kimataifa ya Amirul-Muuminina (as) zinazomhusu Shahidi wa Muqawama, Sayyid Hassan Nasrullah, zitazinduliwa.
-
Hizbullah:
DuniaMisimamo Rasmi ya Hizbullah Hutolewa Kupitia Katibu Mkuu na Taarifa Rasmi
Hawza/ Idara ya Mahusiano ya Vyombo vya Habari ya Hizbullah imetangaza kwamba: Kauli yoyote isiyo rasmi inapaswa kuchukuliwa kuwa ni maoni binafsi; misimamo yetu hutangazwa tu kupitia Katibu…
-
Sheikh Naim Qassim:
DuniaSerekali ya Lebanon Imechagua Njia Ambayo Si ya Heshima Kwake Wala Si ya Fahari kwa Lebanon
Hawza/ Sheikh Naim Qassem, Katibu Mkuu wa Hizbullah, alisisitiza: Mtume wetu, Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), ni Mtume wa watu walio huru; watu hao walio huru ambao hufungua akili na nyoyo zao zilizo…