Jumatano 18 Novemba 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani Ana Haki Kubwa Juu ya Jamii ya Waumini na Hawza

    Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu Nchini Iran

    HawzaAyatullah Al-Udhma Wahid Khorasani Ana Haki Kubwa Juu ya Jamii ya Waumini na Hawza

    Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, huku akitoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani (r.a.), amesisitiza kwamba: Bila shaka, mwanachuoni huyo mtukufu…

    2026-11-18 22:00
  • Kutetea Heshima na Utukufu wa Ahlul-Bayt (as) Ilikuwa Miongoni mwa Sifa za Kipekee za Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani

    Ayatullah Al-Udhma Nouri Hamadani:

    HawzaKutetea Heshima na Utukufu wa Ahlul-Bayt (as) Ilikuwa Miongoni mwa Sifa za Kipekee za Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani

    Hawza/ Ayatullah Nouri Hamadani amesisitiza kwamba: Kutumia muda wa karne nzima kutetea heshima na utukufu wa Ahlul-Bayt (as), pamoja na kueneza utamaduni wao kupitia majukwaa ya mihadhara na…

    2026-11-18 21:30
  • Hawza ya Qom, Najaf na Khorasan Zimenufaika na Urithi wa Kudumu wa Ayatullah Wahid Khorasani

    Ayatullah Al-Udhma Makarim Shirazi:

    HawzaHawza ya Qom, Najaf na Khorasan Zimenufaika na Urithi wa Kudumu wa Ayatullah Wahid Khorasani

    Hawza/ Ayatullah Makarim Shirazi amesema: Faqihi huyo hakusita kufanya juhudi zozote katika kufufua na kuhuisha mafundisho na mambo yanayohusiana na Watukufu hao, hususan katika kutetea mafundisho…

    2026-11-18 21:00
  • Baraza Kuu la Hawza Nchini Iran, Latoa Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani

    HawzaBaraza Kuu la Hawza Nchini Iran, Latoa Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani

    Hawza/ Baraza Kuu la Hawza limetoa salamu za rambirambi kupitia ujumbe maalumu kufuatia kifo cha Marji' mwenye hadhi kubwa, Ayatullah Hussein Wahid Khorasani.

    2026-11-18 20:30
  • Wanazuoni na Vijana wa Bahrain Wanakamatwa na Kuteswa kwa Sababu ni Mashia/ Hukumu za Kifungo cha Maisha Zatolewa Dhidi ya Wanazuoni wa Bahrain

    Mwalimu wa Hawza ya Bahrain:

    DuniaWanazuoni na Vijana wa Bahrain Wanakamatwa na Kuteswa kwa Sababu ni Mashia/ Hukumu za Kifungo cha Maisha Zatolewa Dhidi ya Wanazuoni wa Bahrain

    Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Khujasteh amesema kuwa idadi kubwa ya wanazuoni, viongozi wa dini na vijana wa Bahrain wamekamatwa na kuteswa kutokana na kupinga sera za utawala na kulalamikia…

    2026-11-18 20:00
  • Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani Alisisitiza Kulindwa Mfumo wa Kiislamu, Uhuru wa Hawza na Kuhifadhiwa Madhehebu ya Shia

    HawzaAyatullah Al-Udhma Wahid Khorasani Alisisitiza Kulindwa Mfumo wa Kiislamu, Uhuru wa Hawza na Kuhifadhiwa Madhehebu ya Shia

    Hawza/ Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Baraza la Wanazuoni Wataalamu wa Uongozi (Majlis Khubregan-e Rahbari), akizungumzia vipengele mbalimbali vya haiba ya Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani…

    2026-11-18 19:30
  • Ayatullah Wahid Khorasani Alikuwa Miongoni mwa Maraji' Waliounga Mkono Wilaya na Aliyehuisha Alama za Kidini za Fatimiyyah

    Ayatullah Rajabi:

    HawzaAyatullah Wahid Khorasani Alikuwa Miongoni mwa Maraji' Waliounga Mkono Wilaya na Aliyehuisha Alama za Kidini za Fatimiyyah

    Hawza/ Mjumbe wa Baraza Kuu la Hawza za Kielimu nchini Iran amesema kuwa, sambamba na kumuenzi na kutukuza nafasi ya kielimu na kiroho ya marehemu mtukufu, Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani,…

    2026-11-18 19:00
  • Ujumbe wa Rambirambi wa Ayatullah Husseini Bushehri Kufuatia Kifo cha Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani

    HawzaUjumbe wa Rambirambi wa Ayatullah Husseini Bushehri Kufuatia Kifo cha Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani

    Ayatullah Sayyid Hashem Husseini Bushehri ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Ayatullah Wahid Khorasani (ra).

    2026-11-18 18:35
  • Ujumbe wa Rambirambi wa Ayatullah Al-Udhma Subhani Kufuatia Kifo cha Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani

    HawzaUjumbe wa Rambirambi wa Ayatullah Al-Udhma Subhani Kufuatia Kifo cha Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani

    Ayatullah Subhani ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Marji' mwenye hadhi ya juu na mwanachuoni wa kimungu, Ayatullah Wahid Khorasani (Mwenyezi Mungu autakase roho yake).

    2026-11-18 09:00
  • Kufariki Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani ni Tukio Chungu Katika Historia

    Ayatullah Al-Udhma Jawadi Amuli:

    HawzaKufariki Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani ni Tukio Chungu Katika Historia

    Hawza/ Ayatullah Jawadi Amuli, huku akitoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani, amelitaja tukio hilo kuwa ni msiba mkubwa na tukio chungu katika historia.

    2026-11-18 08:30
  • Kufariki Ayatullah Wahid Khorasani Kumeacha Pengo Ambalo Hakuna Kitu Kinachoweza Kuliziba

    Ayatullah Al-Udhma Bashir Najafi:

    HawzaKufariki Ayatullah Wahid Khorasani Kumeacha Pengo Ambalo Hakuna Kitu Kinachoweza Kuliziba

    Hawza/ Ayatullah Al-Udhma Bashir Najafi, miongoni mwa Maraji' wa Najaf Ashraf, ametoa taarifa ya rambirambi akieleza huzuni yake kubwa kufuatia kufariki kwa Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani,…

    2026-11-18 08:00
  • Ujumbe wa rambirambi wa Ayatullah Al-Udhma Sistani kufuatia kufariki kwa Ayatullah Wahid Khorasani

    HawzaUjumbe wa rambirambi wa Ayatullah Al-Udhma Sistani kufuatia kufariki kwa Ayatullah Wahid Khorasani

    Hawza/ Ayatullah Sistani ametoa ujumbe wa rambirambi kufuatia kufariki Ayatullah Wahid Khorasani, mmoja wa Maraji' wa Taqalidi.

    2026-11-18 07:30
  • Ayatullah al-Udhma Wahid Khorasani Aliufungulia Ulimwengu Mpya Elimu ya Kiislamu/ Atoa Wito kwa Wananchi Kujitokeza kwa Wingi katika Mazishi na Kumbukumbu za Marehemu

    Ayatullah Arafi:

    HawzaAyatullah al-Udhma Wahid Khorasani Aliufungulia Ulimwengu Mpya Elimu ya Kiislamu/ Atoa Wito kwa Wananchi Kujitokeza kwa Wingi katika Mazishi na Kumbukumbu za Marehemu

    Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, Ayatullah Alireza Arafi, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Ayatullah al-Udhma Wahid Khorasani (r.a), huku akiwahimiza wananchi wote kujitokeza kwa…

    2026-11-18 07:11

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan
  • Italiano
  • Hausa
  • indonesia
  • 中文

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom