-
DuniaMchambuzi wa Kijeshi wa Yemen: Kushambuliwa kwa Uwanja wa Ndege wa Sana'a Kumemaliza Hatua ya Kupunguza Mvutano na Kurudisha Mzozo Katika Hatua ya Mwanzo
Hawza/ Mchambuzi wa masuala ya kijeshi wa Yemen, Meja Jenerali Khalid Ghurab, amesema kuwa kulengwa kwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana'a ni maendeleo hatari katika mwenendo wa matukio,…
-
Rais wa Brazil:
DuniaMarekani Haina Haki ya Kutoza Ushuru Meli Zinazopita katika Mlango-Bahari wa Hormuz
Hawza/ Rais wa Brazil amekosoa uamuzi wa Donald Trump wa kutoza ushuru meli zinazopita katika Mlango-Bahari wa Hormuz, akisema kuwa hatua hiyo haina uhalali, na kwamba serikali ya Marekani inajaribu…
-
DuniaPolisi wa Hispania Wamkamata Mtu Aliyetukana Uislamu na Kusambaza Chuki Dhidi ya Waislamu
Hawza/ Mtu mwenye umri wa miaka 55 aliyekuwa akitumia rangi za kupulizia kuandika maneno ya chuki dhidi ya Uislamu, vitisho na matusi kwenye ukuta wa msikiti mmoja nchini Uhispania amekamatwa…
-
DuniaKiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Katika Mkutano na Wanafunzi wa Hawza ya Karbala: Asisitiza Kuendelezwa Njia ya Mashahidi na Nafasi ya Wanafunzi Katika Kueneza Mafundisho ya Ahlul-Bayt (as)
Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, katika mkutano wake na kundi la wanafunzi wa harakati hiyo wanaosoma katika Hawza ya Karbala Tukufu, alisisitiza kuwa;…
-
DuniaMjapani Asilimu Baada ya Kusoma Qur'ani Tukufu
Hawza/ Bw. Kazuki Suleiman Kanehara, raia wa Japan mwenye umri wa miaka 31, ameukumbatia Uislamu kwa moyo mkunjufu baada ya kusoma Qur'ani Tukufu.
-
DuniaMahakama ya Bahrain na Kuwakusudia Waislamu wa Madhehebu ya Shia
Hawza/ Haijalishi utawala wa Bahrain utajaribu kwa kiasi gani kuficha kufungwa kwa makumi ya wanazuoni na maulamaa wa Kishia kwa kuwabandika tuhuma za "uhaini" ili kuharibu heshima na hadhi yao,…
-
DuniaKubeba Vifaa vya Kidini Kwapigwa Marufuku Katika Magereza ya Bahrain
Hawza/ Kwa mtazamo wa kila anayefuatilia masuala ya Bahrain, imekuwa wazi kuwa utawala wa Aal Khalifa umejengwa juu ya msingi wa ubaguzi na mateso ya kidini. Serikali hiyo hutoa madai yasiyoendana…
-
Imamu wa Ijumaa wa Beirut:
DuniaMashia Hawatakuwa Chombo cha Fitna; Lebanon Haina Njia ya Wokovu Isipokuwa Umoja wa Kitaifa
Hawza/ Hujjatul Islam Sayyid Ali Fadlullah, Imamu wa Ijumaa wa Beirut, amesema kuwa, Mashia hawatakuwa chombo cha kuchochea fitna, akisisitiza kwamba Lebanon haina njia nyingine ya kuokoka isipokuwa…
-
DuniaMkutano Mkubwa wa Wanazuoni wa Lebanon, Wafanyika kwa Kumuenzi Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei
Hawza/ Nchini Lebanon, hafla kubwa na ya kitaifa iliyoandaliwa kwa ushiriki wa wanazuoni wa dini kutoka madhehebu na makundi mbalimbali imefanyika kwa ajili ya kumuenzi na kutoa rambirambi kufuatia…
-
DuniaHafla ya "Imamu wa Mashahidi" Yafanyika huko Al-Hermel, Lebanon kwa Kumuenzi Imam Khamenei
Hawza / Harakati ya Hizbullah ya Lebanon pamoja na Jumuiya ya Vituo vya Utamaduni vya Imam Khomeini (qs) zimeandaa hafla iliyopewa jina la "Imamu wa Mashahidi" kwa ajili ya kumuenzi Kiongozi…
-
DuniaMuislamu Mwoga; Kiraka Kisichofaa Katika Mwili wa Umma wa Kiislamu
Hawza/ Muislamu mwoga na dhaifu si tu kwamba hana nafasi katika mantiki ya wahyi, bali pia kwa kupuuza 'amali njema' iliyo ya msingi kabisa — yaani kuwaghadhibisha maadui wa safu ya ukafiri —…