-
Duniapicha/ Hafla ya Maulidi ya kuzaliwa Mtume (saw) yafanyika katika kituo cha J'amiatul-Mustafa nchini Tanzania
Hawza/ Kituo cha J'amiatul-Mustafa nchini Tanzania chini ya usimamizi wa Dkt. Aly Taqawi, Raisi na mwakilishi wa J'amiatul-Mustafa nchini Tanzania, kimefanya maadhimisho ya hafla ya Maulidi ya…
-
Ujumbe wa Ayatollah al-Udhma Makarem Shirazi kuelekea Kongamano la 39 la Umoja wa Kiislamu:
DuniaWanazuoni wa Kiislamu wanapaswa kwa umakini wasiruhusu tofauti na migawanyiko baina ya Waislamu
Hawza/ Ayatollah al-Udhma Makarem Shirazi, katika ujumbe alioupeleka kwa wageni walio hudhuria Kongamano la Umoja wa Kiislamu, alisema: “Enyi wasomi, msitosheke kwa kuzungumzia umoja tu, bali…
-
DuniaMjumbe wa Kikundi cha Muqawama: Sisi kwa hakika tunayahitaji mno mawazo na mtazamo wa Imam Musa Sadr ili kukabiliana na adui wa Kizayuni na maadui wa ndani
Hawza/ Jumuiya ya Vituo vya Kiutamaduni vya Imam Khomeini imeadhimisha kumbukumbu ya kupotea kwa Imam Musa Sadr pamoja na wenzake wawili katika makao yake makuu mjini Sur.
-
DuniaWasomaji wa Qur'ani wa Kiirani wang'ara katika Kongamano la Arobaini na Mbili la Kimataifa la Maulidi ya Mtume (S.A.W) huko Lahore, Pakistan
Hawza/ Kongamank la 42 la Kimataifa la Maulidi ya Mtume (saw) limefanyika katika ukumbi wa Iqbal mjini Lahore, Pakistan, kwa ushiriki mkubwa wa wanazuoni, wasomi na wapenzi wa Mtume wa Rehema,…
-
DiniMada ya Utafiti wa Kisheria | Je, kutawadha na kuoga janaba huku kukiwa na tatoo ni sahihi?
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Khamenei amejibu swali la kifiqhi lililoulizwa kuhusiana na hukumu ya kutawadha na kuoga janaba kwa mtu mwenye tatoo.
-
Barua ya Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza Tukufu ya Qum kwa Wanazuoni wa Al-Azhar:
DuniaWanazuoni wa Kiislamu wawasaidie wanyonge wa Ghaza
Hawza/ Watu wasio na hatia na wanaokabiliwa na njaa huko Ghaza wanachinjwa hadharani mbele ya macho ya dunia, hata wakiwa wamesimama kwenye foleni za chakula, ni wajibu na ni jambo zuri kwamba…
-
Ayatullah al-Udhma Subḥānī katika ufunguzi wa mwaka wa masomo wa Hawza:
Hawza“Kumpenda Mtume siyo bid‘a, bali ni miongoni mwa misingi ya Uislamu / Wanafunzi wa dini wanapaswa kufanya hijra (kuhama kwa ajili ya kutafuta elimu)
Hawza/ Ayatullah Subḥānī alibainisha: Ikiwa mtu ataishi kwa kuifuata Qur’ani na Sheri‘a, lakini moyoni mwake akawa na chuki dhidi ya Mtume (s.a.w), basi mtu huyo ni kafiri. Na hata asipokuwa…
-
Ayatullah A‘rafi katika hafla ya ufunguzi wa mwaka wa masomo wa Hawza:
HawzaUtambulisho wa urasimi wa kidini (ruhaniyat) una mizizi yake katika Unabii na Uimamu / Nukta 15 kuu katika ujumbe wa kimkakati wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi kwa Hawza
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza Iran, alisrma: Ujumbe wa juu, wa kufungua njia na wa kimkakati wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi kwa Hawza, ni mwongozo wa harakati zetu za leo na kesho, Ujumbe huu ni…