-
DuniaMaulamaa wa Pakistan watoa ombi la Kuzingatiwa kwa viongozi wa Saudia
Hawza/ Maulamaa mashuhuri wa Pakistan, katika khutba za Ijumaa, wameomba kwamba mwaka huu, viongozi wa Hija wa Saudi Arabia wafikishe ujumbe wa kuikomboa Baytul-Maqdis na mwamko wa Umma wa Kiislamu…
-
DuniaImam wa Ijumaa wa Najaf Ashraf atoa tahadhari Kuhusiana na Njama Iliyoandaliwa Dhidi ya Waislamu wa Kishia nchini Iraq
Hawza/ "Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qubanchi, akizungumzia ombi la Marekani la kutaka kuvunjwa kwa kikosi cha Hashdu al-Sha'bi nchini Iraq, alisema: Kwa nini Marekani inasisitiza…
-
DuniaBenedict Cumberbatch aungana na waandamanaji dhidi ya mauzo ya silaha kwa Israel
Hawza/ Zaidi ya wasanii 300, madaktari, na wanajumuiya wa chuo kikuu nchini Uingereza, wametia saini barua ambayo inamtaka Waziri Mkuu wa Uingereza kuchukua hatua za haraka kuhusiana na vita…
-
DuniaWaislamu wa Marekani wajiandaa kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Eid al-Adha
Hawza/ Siku ya Ijumaa sawa na tarehe 6 Juni, kumetolewa wito kwa ajili ya Swala ya Jamaa ya Sikukuu ya Eid al-Adha miongoni mwa Waislamu wa Marekani, na pia sherehe na hafla mbalimbali zimepangwa…
-
Raisi wa Harakati ya Minh'aj al-Qur’an ya Pakistan:
DuniaKuvumilia wahalifu kunapelekea kuvunjika kwa jamii
Dkt. Muhammad Tahir-ul-Qadri, Kiongozi wa Harakati ya Minh'aj al-Qur’an Pakistan, katika kikao cha kielimu kilichofanyika Manchester Uingereza, kwa kusisitiza heshima ya uhai wa binadamu, alilitaja…
-
DuniaMwenyekiti wa Jumuiya ya Kisheria ya Waislamu wa Kishia wa Jammu na Kashmir apinga vikali ukimya wa jumuiya ya kimataifa kuhusiana na janga la kibinadamu la Ghaza
Hujjatul-Islam Sayyid Hassan Mousawi Safawi, katika hotuba yake, alilaani vikali uhalifu unaofanywa na Israel huko Ghaza, na akasema kuwa dunia kukaa kimya mbele ya janga hili la kibinadamu haikubalik…
-
Ayatollah Araki katika kikao cha viongozi wa mikoa wa Hawza:
HawzaHawza haijajitenga mbali na siasa
Mjumbe wa Baraza Kuu la Hawza amesema kuwa, maandalizi ya wanafunzi wa elimu ya dini (talaba) yanapaswa kufanyika kwa haraka, na akasisitiza kuwa: "Ili kufanikisha lengo hili, hatupaswi kupunguza…