Muhtasari wa Shirika la Habari la Hawza  

Shirika la Habari la Hawza ni chombo cha habari chenye utaalamu na kinachoongoza katika utoaji wa taarifa zinazohusiana na Hawza pamoja na mijadala ya kidini, kwa lengo la kutoa habari sahihi, tahalili na uchambuzi wa kitaalamu kuhusu masuala ya kielimu, kitamaduni na kijamii yanayohusiana na Hawza.

Shirika hili la habari kwa kutegemea urithi tajiri wa elimu ya Kiislamu na mtazamo mpya juu ya masuala ya kisasa, linajitahidi kuimarisha uhusiano thabiti kati ya Hawza na jamii kwa ujumla.  

Dhamira Yetu:  
- Kuchapisha habari na shughuli za Markaz za kihawza, wanazuoni wakubwa wa kiislamu, waalimu, wanafunzi wa dini na taasisi zinazohusiana na mambo hayo.  
- Kutambulisha mafanikio ya kielimu, kitamaduni na kijamii ya Hawza katika ngazi ya kitaifa na kimataifa.  
- Kuandaa jukwaa la mazungumzo yenye manufaa kati ya wasomi wa Hawza na jamii, kwa kuzingatia masuala ya kidini, kimaadili na kijamii.  
- Kujibu maswali kwa kutegemea vyanzo halisi vya kiislamu.

Kuwasiliana Nasi:  
Kwa ajili ya kutoa maoni, mapendekezo au changamoto ulizo nazo, tafadhali wasiliana nasi kupitia njia zifuatazo:  
- Tovuti: https://sw.hawzahnews.com/
- Barua pepe:  
- Namba ya simu:  
- Mitandao ya kijamii:

Maoni yako

You are replying to: .
captcha