meli Samoud Fololita (8)
-
DuniaWatu mia moja wafuasi wa haki za binadamu wapo njiani kuelekea Ghaza.
Hawzah/ Ripoti zinaonyesha kwamba bado kuna boti chache zilizobaki kutoka katika meli ya Samoud ambazo zinajaribu kuvunja vikwazo dhidi ya watu wanyonge wa Ghaza.
-
DuniaHispania Imeishtaki Israeli Katika Mahakama ya Kimataifa
Hawza/ Waziri wa Mambo ya Ndani wa Hispania, Fernando Grand Marsela, amefikisha malalamiko rasmi katika Mahakama ya Jinai ya Kimataifa dhidi ya Israeli kuhusiana na matukio yanayohusiana na ufuatiliaj…
-
DuniaMwanaharakati wa Italia kutoka “Flotilla ya Sumuud” asilimu baada ya kukamatwa Israeli
Hawza/ Tommaso Bortolazzi, mwanaharakati wa Kiitaliano aliyehudhuria katika Flotilla ya Sumuud na kukamatwa na jeshi la majini la utawala wa Kizayuni, alisilimu baada ya kushuhudia ukatili uliofanywa…
-
DuniaWanaharakati wa Flotilla ya “Ṣumūd” Wafichua Uhalifu uliofanywa na Wavamizi wa Kizayuni
Hawza/ Wanaharakati waliokuwa washiriki katika Flotilla ya Kimataifa ya Ṣumūd walisema: “Katika vizimba vilizotengenezwa kwa ajili ya watu watano, waliwekwa watu kumi na tano. Tuliona maandiko…
-
DuniaMaandamano ya Kimataifa yaongezeka kwa Kasi kwa ajili ya Kuiunga Mkono Ghaza na Kulaani Utekaji wa Flotilla ya Sumūd
Hawza/ Baada ya utawala wa Kizayuni kuiteka meli iliyokuwa imebeba misaada ya kibinadamu kwa ajili ya watu wa Ghaza, kwa jina la Flotilla ya Sumūd, watu kutoka sehemu mbalimbali duniani wameandamana…
-
DuniaUpinzani Mkali wa Serikali ya Chile dhidi ya Kukamatwa kwa Msafara wa Kimataifa “Sumud” na Utawala wa Kizayuni
Hawza/ Serikali ya Chile imeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu hatua iliyochukuliwa na utawala wa Kizayuni ya kukamata msafara wa kimataifa “Sumud” uliokuwa unaelekea Ghaza huku ukibeba misaada ya…
-
Msimamo Mkali wa Colombia dhidi ya Israel:
DuniaMabalozi wa Israel waamriwa kuondoka nchini
Hawza/ Gustavo Petro, Rais wa Colombia, akijibu hatua ya utawala wa Kizayuni ya kukamata meli ya “Flotilla ya Kimataifa – Sumud” na kuwakamata wanaharakati waliokuwemo, ametoa amri ya kuondolewa…
-
DuniaUhispania yaionya Israel kuhusu kuzilenga meli zinazobeba misaada kwa ajili ya watu wa Ghaza
Hawza/ Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania, José Manuel Albares, katika tamko lake la hivi karibuni aliionya Israel kuwa shambulio lolote dhidi ya meli Samoud Fololita ambayo inabeba misaada…