Wiki ya Umoja (18)
-
Mwanachuoni wa Kihindi:
DuniaSira ya Mtume (s.a.w.w.) Ni Kielelezo cha Umoja, Rehema na Kuishi kwa Amani Miongoni mwa Wafuasi wa Dini Mbalimbali
Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Kalb Rashid amesema: Sira ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w.) inatufundisha kwamba; kwa kuweka kando tofauti, Shia na Sunni pamoja na wafuasi wa dini nyingine wanaweza…
-
Sheikh Ibrahim Zakzaky:
DuniaUmoja wa Waislamu Utarejesha Heshima na Nguvu Yao
Hawza/ Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, amesisitiza umuhimu wa umoja na mshikamano wa Umma wa Kiislamu, akisema: “Umoja wa Waislamu ndiyo njia ya kurejesha…
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania:
DuniaDunia Inapaswa Kufuata Mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Hemedi Jalala, ametoa wito kwa jamii duniani kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.), akisisitiza kuwa maisha na mwenendo…
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Ahlulbayt (as) Jijini Arusha:
DuniaTofauti za Kimadhehebu Zisiwe Sababu ya Waislamu Kutengana
Hawza/ Mkurugenzi wa Madrasa ya Ahlulbayt iliyopo jijini Arusha, Dkt. Sheikh Abdurazak Amiri, ametoa wito kwa Waislamu kutoruhusu tofauti za kimadhehebu kuwa sababu ya kutengana, akisisitiza…
-
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na AmaniTanzania:
DuniaMaulidi ya Mtume (s.a.w.w.) Yanatufundisha Umoja na Kuepukana na Mifarakano
Hawza/ Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania, Dk. Sheikh Alhadi Mussa Salum, amesema: Maadhimisho ya Maulidi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.) yamebeba ujumbe mkubwa wa umoja wa Kiislamu,…
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayyid Shuhadaa (as):
Dunia“Bila ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.) Hakuna Amani Duniani”
Hawza/ Sheikh Maulidi Hussein Sombi, amesisitiza umuhimu wa kumuenzi Mtume Muhammad (s.a.w.w.) kwa kuzingatia mafundisho yake ya amani, umoja na mshikamano, huku akieleza kuwa Mtume Mtukufu ni…
-
DuniaBilal Muslim Temeke, Yaadhimisha Hafla ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Kituo cha Bilal Muslim kimeandaa hafla maalumu ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.), katika tukio lililolenga kuenzi maisha, ujumbe na mafundisho ya Mtume…
-
DuniaShangwe na Furaha Zatawala Kigogo, TIC Yaadhimisha Mazazi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Jumuiya ya Shia Ithnaashariyyah Tanzania (TIC) imeungana na Waislamu wote nchini katika kuadhimisha kwa shangwe na furaha kubwa kumbukumbu ya kuzaliwa Mtukufu wa daraja Mtume Muhammad…
-
DuniaMoshi Yaadhimisha Maulidi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.); Malezi ya Kiakili, Kiroho na Kimaadili Vyasisitizwa
Hawza/ Waumini na wananchi mbalimbali katika Jiji la Kilimanjaro Moshi, walikusanyika katika Msikiti wa Ahlulbayt tarehe 29 Agosti 2026 kwa ajili ya kushiriki hafla maalumu ya kuadhimisha Maulidi…
-
DuniaTIC na Hawza Imam Swa’diq (as) Waanza Maadhimisho ya Maulidi ya Mtume (s.a.w.w.) kwa Hafla ya Samāi Dar es Salaam
Hawza/ Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), kwa kushirikiana na Hawza ya Imam Swa’diq (as), imeanza kwa hamasa maadhimisho ya Maulidi ya Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), kupitia hafla maalumu ya…
-
Ayatullah Khamenei katika ujumbe wake kufuatia mnasaba wa Wiki ya Umoja:
DuniaKila kitendo cha kuleta mifarakano, kutoka kwa mtu yeyote na katika nafasi yoyote, kinaelekea kutimiza lengo la adui
Hawza/ Ayatullah Sayyid Mujtaba Husaini Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe wake kufuatia mnasaba wa Wiki ya Umoja, ametoa pongezi kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa…
-
Sheikh Rifa‘i:
DuniaUmoja wa Kiislamu ni Ulazima wa Kimkakati Katika Kukabiliana na Miradi ya Kizayuni
Hawzah/ Sheikh Mu’min Al-Rifa‘i, mwanazuoni wa Kisunni na mshauri wa masuala ya uhusiano wa kidiplomasia nchini Lebanon, amesisitiza kwamba; “Wiki ya Umoja wa Kiislamu,” ambayo inaambatana na…
-
Mjumbe wa Hizbullah Lebanon:
DuniaBila Umoja wa Kiislamu, Umma Hauna Nguvu ya Kukabiliana na Uvamizi na Ubeberu
Hawzah/ Hujaatul-Islam Sayyid Ali Fahs, akichambua uzoefu wa Umoja wa Kiislamu, alisema: “Wazo lililoasisiwa na Imam Khomeini (q.s.) halikuwa wito wa kinadharia tu wa kuwaleta Waislamu karibu…
-
DuniaImamu wa Ijumaa Beirut: Mtume (s.a.w.w.) Ni Rehema kwa Walimwengu na Ponyo la Majeraha Yao
Hawzah/ Hujaatul-Islam Sayyid Ali Fadhlullah, kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), amewasilisha pongezi na salamu zake za heri, hususan kwa Waislamu.
-
DuniaKauli 20 za Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Kuhusiana na “Mtume Mtukufu (s.a.w.w)”
Hawzah/ Kwa mtazamo wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi, maisha ya Mtume Mtukufu (s.a.w.w) yamejaa mafundisho makubwa ya kibinadamu na kimaadili ambayo yanatosha kwa ajili ya ulimwengu wetu. Kusimama,…
-
Katika Ripoti ya Uchambuzi ya Shirika la Habari la Hawzah Imefafanuliwa:
DuniaUmoja wa Waislamu; Msingi Uliojikita katika Muundo wa Maarifa ya Uislamu
Hawzah/ Umoja na mshikamano wa Umma wa Kiislamu, ambao unapita zaidi ya masuala ya kikabila, rangi na hata tofauti za kimadhehebu, ni ulazima wa kidini na kiakili; kwani Uislamu mtukufu hauruhusu…
-
Ayatullah Al-Udhma Nouri Hamedani katika ujumbe wake kuelekea Mkutano wa 40 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu:
DuniaKila aina ya uhusiano na utawala wa Israel na msaada wa kuuwezesha kuendelea kuwepo bila shaka unapingana na maslahi ya Umma wa Kiislamu
Hawzah/ Ayatullah Al-Udhma Nouri Hamedani, huku akisisitiza kwamba kila aina ya uhusiano na utawala wa Israel na msaada wa kuuwezesha kuendelea kuwepo bila shaka unapingana na maslahi ya Umma…
-
DuniaIran Yaandaa Mkusanyiko wa Mada 60,000 za Utafiti Kuhusiana na Mtume Mtukufu (s.a.w.w)
Katika kikao cha waandishi wa habari cha kutambulisha “Mkusanyiko wa Mada za Utafiti za Elimu na Maarifa ya Mtume (s.a.w.w)”, ilibainishwa kuwa baada ya miaka kadhaa ya utafiti, uchunguzi na…