Vita vya Ramadhani (10)
-
Katika mazungumzo na rais wa Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Bahrain ilijadiliwa:
DuniaKwa nini ukoo wa Aal Khalifa unachukua hatua ya ukandamizaji mkubwa dhidi ya wanazuoni na maulamaa wa Kishia? / Nafasi ya Emirates katika mauaji ya kimbari dhidi ya Mashia wa Bahrain
Hawza/ Rais wa Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Bahrain alisema: Maafisa wa usalama wa Bahrain, kwa kuchochewa na Umoja wa Falme za Kiarabu, wako katika juhudi za kuiangamiza jamii ya Mashia; miongoni…
-
DuniaMkurugenzi wa Hawza ya Wabahrain nchini Iran alaani kukamatwa kiholela wanazuoni wa dini nchini Bahrain
Hawza/ Hujjatul Islam wal-Muslimin Sheikh Abdullah al-Daqqaq, mkurugenzi wa Hawza ya Wabahrain nchini Iran, amelaani vikali kukamatwa kiholela kwa wanazuoni wa dini nchini Bahrain na ametaka…
-
Naibu wa Masuala ya Kimataifa wa Hawza nchini Iran:
HawzaDunia imeingia katika mfumo mpya baada ya Vita vya Ramadhani / Tumefikia hatua ya kuamua mambo baada ya kuwa katika hatua ya kujihami
Hawza/ Hujjatul Islam wal-Muslimin Hussein Kouhsari, akisisitiza kwamba; hawza ndio mstari wa mbele wa medani ya mapambano dhidi ya mfumo wa ubeberu, alisema: Dunia imeingia katika mfumo mpya…
-
Ayatullah al-Udhma Makarim Shirazi:
DuniaMhimili muhimu zaidi wa kuziunga mkono taasisi za utekelezaji na za utawala ni uwepo na ushirikiano wa wananchi
Hawza/ Ayatullah Makarim Shirazi amesema: Mhimili muhimu zaidi wa mafanikio ya taasisi za utekelezaji na za utawala ni uwepo na ushirikiano wa wananchi wenye uelewa, na akasisitiza: Maadamu wananchi…
-
Ayatullah A‘rafi:
HawzaWanazuoni wa dini wawe macho na hawza pamoja na taifa la Iran viendeleze kwa uthabiti zaidi njia ya miezi miwili iliyopita
Hawza/ Wanazuoni wa dini wawe macho na hawza za elimu ya dini waendelea kuwa katikati ya uwanja na mitaani pamoja na watu, wakiwa watumishi wa taifa na wapiganaji katika njia ya Mwenyezi Mungu,…
-
DuniaWatu wa Bahrain wataka wanajeshi wa Marekani waondoke/ Watawala wa Kiarabu wanawakamata Mashia kwa visingizio visivyo na msingi
Hawza/ Mkuu wa utoaji taarifa wa Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Bahrain alisema: Kikosi cha Tano cha Jeshi la Wanamaji la Marekani nchini Bahrain, kutokana na uwepo wake usio halali, kinakabiliwa…
-
Kamal al-Khair:
DuniaUmadhubuti wa Lebanon na shinikizo la Iran vilisababisha kusitishwa vita
Hawza/ Kamal al-Khair, mkuu wa “Kituo cha Kitaifa Kaskazini mwa Lebanon”, amesema: Lau si shinikizo la kila siku la Iran wakati wa mazungumzo, pamoja na umadhubuti wa Lebanon katika kukabiliana…
-
DuniaMazishi ya mashahidi 12 wa mashambulizi ya Marekani na Wazayuni yafanyika kwa heshima na taadhima
Hawza/ Miili mitukufu ya mashahidi 12 wa mashambulizi ya kikatili ya Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo ya makazi ya mji wa Qom, ilizikwa kwa mazishi ya heshima kwa ushiriki mkubwa…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa Baghdad:
DuniaVita vya leo si mgogoro kati ya Iran na Marekani; ni vita kwa ajili ya haki ya dini na hatima ya Umma
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, huku akisisitiza kwamba matukio yanayoendelea yanazidi migogoro ya mipaka, aliona kwamba; kutokuwa na upande wowote katika vita vya Ramadhani ni kuungana…
-
Ayatullah Mudarrisi:
DuniaWatu wa Iran katika “Vita vya Ramadhani” kwa kuiga kielelezo cha Karbala wamesimama imara, wanatoa mashahidi na wanashinda kwenye vita
Hawza/ Ayatullah Sayyid Muhammad Taqi Mudarrisi amesema kuwa; watu wa Iran katika Vita vya Ramadhani wamepewa msukumo na roho ya Karbala iliyoakisiwa katika kujitolea kwa Imam Hussein (a.s.).…