Hawza/ Hujjat al-Islam wal-Muslimin Sayyid Jawad Naqvi, katika hotuba yake huku akionya juu ya jitihada kubwa za kulazimisha kukubalika kwa utawala wa Kizayuni katika nchi za Kiislamu, ametaja…
Hawza/ Mkurugenzi wa Jami’atul-Urwatul-Wuthqa mjini Lahore, Pakistan, katika ujumbe aliomtumia Ayatollah A’rafi, Mkurugenzi wa Hawza, ametoa pongezi kwa kushindwa kwa maadui katika vita vya kulazimish…
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimīn Sayyid Jawad Naqawi, katika hotuba yake, amesema kuwa fikra za Imam Khomeini (ra) ndio njia pekee ya kuukomboa Ummah wa Kiislamu, na kwa kukosoa kimya cha…
Hawza / Katika maadhimisho ya mwaka wa thelathini na sita tangia kufariki kwa kiongozi mkubwa wa Mapinduzi ya Kiislamu, hadhrat Imam Khomeini (ra), mkusanyiko mkubwa uliohudhuriwa na maulamaa…