Hawzah/ Haishangazi tena kwamba nchi ya Saudi Arabia, kwa sababu zisizo na mantiki na kwa kutumia vibaya ukimya wa serikali ya Iraq na kutojali kwa Wizara ya Mambo ya Nje kuhusu haki za Wairaq…