Hawza/ Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria inayoongozwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky iliandaa hafla ya kumbukumbu ya kufikia mwaka mmoja wa mashahidi wa ajali ya ndege iliyotokea mwezi Mei, siku…
Hawza/ Sheikh Sayyid Ibrahim Zakzaky amekutana na baadhi ya watu waliokuwa wamefungwa kwa muda wa miaka sita lakini hatimaye wameachiwa huru baada ya kufutiwa mashtaka.