Mkutano wa 39 wa Umoja wa Kiislamu (5)
-
DuniaMtafiti kutoka nchini Tanzania: Umma wa Kiislamu ni umma wa rehema na umoja
Hawza/ Mtafiti kutoka nchi ya Tanzania, akisisitiza juu ya rehema ya umma wa Kiislamu, alisisitiza pia juu ya ulazima wa kuwasaidia wananchi wa Palestina.
-
Rais wa Baraza la Wanazuoni wa Palestina katika ufunguzi wa Mkutano wa Umoja:
DuniaIwapo Ghaza itaanguka, hakuna nchi ya Kiislamu itakayokuwa salama
Hawza/ Sheikh Hassan Muhammad Qasim akiwahutubia Waislamu alisema: Ingieni mkono Palestina, kwani iwapo Ghaza itaanguka, hakika nyinyi pia mtaanguka.
-
Sheikh Ali Al-Khatib katika ufunguzi wa Mkutano wa Umoja:
DuniaUshindi wa muqawama umeilazimisha dola ya Kizayuni kukiri kushindwa kwake
Hawza/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Kishia nchini Lebanon alisisitiza: Adui anataka kuutenga umma wa Kiislamu na malengo yake ya kimungu, lakini ushindi wa muqawama umeilazimisha…
-
DuniaSayyid Abdulqadir Alusi katika ufunguzi wa Mkutano wa Umoja: Lazima katika mkutano wa umoja tuutangaze Uislamu wa kweli
Hawza/ Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni wa Ribat Muhammadi nchini Iraq amesema kuwa kuimarisha na kuutangaza Uislamu kwa wananchi wa nchi nyingine ndilo jukumu kuu la Mkutano wa Umoja wa Kiislamu.
-
Shaykh al-Sumaida‘i katika ufunguzi wa Mkutano wa Umoja:
DuniaKughafilika na kukosekana kwa umoja wa Waislamu ndiko kunakoongeza jinai za utawala wa Kizayuni
Hawza/ Mufti wa Ahlus-Sunna wa Jamhuri ya Iraq amesisitiza kuwa Waislamu leo wamelala usingizi wa kughafilika, na utawala wa Kizayuni unatumia hali hii kuendeleza jinai zake.